Vigogo wa Chadema waingia Tarime, Mikutano kadhaa kufanyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Novemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .

Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI, kwa tafsiri Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano, yaani uhai wa chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the chain au hizi Chadema digital ndio pumzi ya chama.

FB_IMG_1668158902862.jpg
FB_IMG_1668158894434.jpg

Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa

Mungu ibariki Chadema .
 
tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.

Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
 
tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa uchochezi, watanzania waanacho kitaka na kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.

Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike.
Katiba mpya tangu lini ikawa uchochezi ?
 
tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.

Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
Nitajie kiongozi yoyote wa Chadema ambaye alishahukumiwa na kufungwa kwa kesi ya uchochezi mpaka sasa
 
Novemba imeingia , sasa usije kusema hatukukuambia , Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote , kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .

Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI , kwa tafsiri , Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano , yaani uhai wa Chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the Chain au hizi chadema digital ndio pumzi ya chama .

View attachment 2413276View attachment 2413277

Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa

Mungu ibariki Chadema .
Mtu nne ndani ya Tarime moja.
 
Hapo ndio wapo kwenye mkutano?
 
tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.

Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
Wapi chadema wanakusanya kodi za wananchi ili kutatua kero...yani sasa waanze kufanya kazi za serikali yako inayokusanya na kurundikia wananchi mitozo..ikashindwa kujenga mabwawa na kusambaza maji safi kwa wananchi..leo hiyo kazi waifanye chadema...tumia akili hata kama njaa yako imehamia kichwani.

Suala la kutatua kero na kupeleka maendeleo kwa wananchi ni suala la serikali iliyopo madarakani

#MaendeleoHayanaChama
 
tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.

Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
Kutatua matatizo yao ndio kufanyaje? Kuwagawia pesa au kuwajengea madarasa?
Kuwafundisha wapi wanakwama na wafanye nini kudai wajibu wa serikali sio kosa duniani pote wala sio uchochezi, ila kwa wajinga ndio wanaweza kutafsiri hivyo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Novemba imeingia , sasa usije kusema hatukukuambia , Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote , kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .

Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI , kwa tafsiri , Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano , yaani uhai wa Chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the Chain au hizi chadema digital ndio pumzi ya chama .

View attachment 2413276View attachment 2413277

Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa

Mungu ibariki Chadema .
Agenda Yao kuu ni ipi
 
tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.

Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
Weee ni Mpuuzi ujue
 
Hii post itapata wachangiaji kibao but all in all safi sana

Nakumbuka kipindi cha dhalimu viongozi wa CDM walikuwa wakipeleka mahitaji kama hospitalini, mashuleni nk, wakuu wa hizo taasisi walikuwa wanagoma kupokea eti kwa maagizo toka juu. Leo hii CDM wakisema wafanye jambo la maendeleo utasikia wanazuiwa kwenye kile kinachoitwa kuipa CDM umaarufu dhidi ya CCM. Sio wajibu wa CDM kufanya siasa za kuifurahisha ccm.
 
Back
Top Bottom