Kwani hayati Ndesaburo alikiwa anakusanya KODI?!Wapi chadema wanakusanya kodi za wananchi ili kutatua kero...yani sasa waanze kufanya kazi za serikali yako inayokusanya na kurundikia wananchi mitozo..ikashindwa kujenga mabwawa na kusambaza maji safi kwa wananchi..leo hiyo kazi waifanye chadema...tumia akili hata kama njaa yako imehamia kichwani.
Suala la kutatua kero na kupeleka maendeleo kwa wananchi ni suala la serikali iliyopo madarakani
#MaendeleoHayanaChama
Lakini likuwa anatatua kero za wananchi.
waananchi wanataka ufumbuzi wa kero zao sio maneno.
Viongozi wa chadema wote ni matajiri na wana uwezo wa kujenga hata madarasa, au kuchimba visima vya maji.