Novemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI, kwa tafsiri Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano, yaani uhai wa chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the chain au hizi Chadema digital ndio pumzi ya chama.
View attachment 2413276View attachment 2413277
Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa
Mungu ibariki Chadema .