Vigogo wa Chadema waingia Tarime, Mikutano kadhaa kufanyika

Kwani hayati Ndesaburo alikiwa anakusanya KODI?!
Lakini likuwa anatatua kero za wananchi.

waananchi wanataka ufumbuzi wa kero zao sio maneno.

Viongozi wa chadema wote ni matajiri na wana uwezo wa kujenga hata madarasa, au kuchimba visima vya maji.
 
Hii ndio Chadema ninayoitamani
 
Mumejiandaa maji ya kufuta mkipigwa na mabomu ya washawasha?
 
Chadema tunaomba mkutano ufanyike Nyamongo tuna jambo letu.
 
hembu ficha kidogo ujinga wako mkuu
chademe watatue kero za wananchi kwani wao wanakusanya kodi? hata tafsiri ya chama cha siasa hujui?
inasikitisha sana? Ndesamburo unayemtolea mfano hapa alipofariki watu walikatazwa hata kumuaga au hukumbuki?
 
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Hawa ndio vigogo wa saccos?.
 
Sawa. Jitahidini kufanya amsha amsha za kistaarabu. Msije mkaharibu kwa lugha za maudhi/matusi mkawachokoza walioanza kulainika na kuwaacha mjinafasi.
 
Kwani hayati Ndesaburo alikiwa anakusanya KODI?!
Lakini likuwa anatatua kero za wananchi.

waananchi wanataka ufumbuzi wa kero zao sio maneno.

Viongozi wa chadema wote ni matajiri na wana uwezo wa kujenga hata madarasa, au kuchimba visima vya maji.
Kutatua shida za wananchi ni kuwaelimisha wajitambue ili watoke wakawajibike.Wananchi sio vilema wakuletewa pesa mifukoni.Vyakupewa havidumu.kama wewe umezoea hivyo pole yako.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sawa. Jitahidini kufanya amsha amsha za kistaarabu. Msije mkaharibu kwa lugha za maudhi/matusi mkawachokoza walioanza kulainika na kuwaacha mjinafasi.
Waliwahi kutoa lugha ya maudhi wapi?.Kuna tofauti kubwa kati ya kutoa lugha ya maudhi na kusema ukweli.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…