Vigogo wa Chadema waingia Tarime, Mikutano kadhaa kufanyika

Bilionea Sugu mbona kavaa blauzi ya happy?, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu ibariki chadema..ila wajiandae kwa tamko kutoka policcm kuhusu kuwepo na taarifa za kiintelijensia.

#MaendeleoHayanaChama
Huo ndio utakaokuwa mwanzo mzuri wa juhudi za ukombozi.
Sitegemei CHADEMA kukunja mkia na kurudi shimoni kwa sababu hiyo.
 
Inapendeza kumuona Msigwa hapo, kutofautiana mitazamo kusiwe sababu ya kutengana, huko ndiko kukomaa kisiasa, wacha safari iendelee.
 
Naelewa CHADEMA inayo raslimali watu (viongozi), wengi sana, hadi huko mashinani kwenyewe.

Huu sasa ndio wakati mwafaka wa kutoa silaha zote za maangamizi. Ni swala tu la kujipanga vizuri na namna nzuri ya kuwatumia viongozi wenu hao, na wanachama wenu kwa ujumla, ili mtimize malengo kwa haraka na kwa ufanisi.

Msiwategemee viongozi wa kitaifa peke yao kufanya mikutano na shughuli nyingine za chama katika kuwafikia na kuwaelimisha wananchi.
Hata Mwalimu Nyerere aliutegemea muundo wa namna hiyo katika juhudi za wakati huo.
 
Msiruletee vurugu mkoani kwetu nendeni mikoani kwenu. Mara tunajielewa kama ni vurugu mmenoa.
 
hembu ficha kidogo ujinga wako mkuu
chademe watatue kero za wananchi kwani wao wanakusanya kodi? hata tafsiri ya chama cha siasa hujui?
inasikitisha sana? Ndesamburo unayemtolea mfano hapa alipofariki watu walikatazwa hata kumuaga au hukumbuki?
Hapa umemtwanga ngumi ya pua.
zandrano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…