Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
[emoji38][emoji38][emoji38] JF bhana ! yaani unamfahamu mtu mwingine kwa matamshi ya Nyerere !Ulijificha kwajina lako unalotumia Sasa nimekufahamu kilichopelekea kukufahamu
Matamshi , kwamfano Nukuu ya mwl pale Hadi mwisho .....pambaneni usirudi nyuma
Mara hakuna mtu duni kama weweMsiruletee vurugu mkoani kwetu nendeni mikoani kwenu. Mara tunajielewa kama ni vurugu mmenoa.
Viva CHADEMA VivaNovemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI, kwa tafsiri Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano, yaani uhai wa chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the chain au hizi Chadema digital ndio pumzi ya chama.
View attachment 2413276View attachment 2413277
Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa
Mungu ibariki Chadema .
Kwahiyo, matusii ndoo jibuTatizo lako liko kichwani.
Nimecheka sana nikasema huyu ni JOHN heche au erythrocyte nikasema John huyu ulichokiandika hapo para 2 ,nimatamshi ya John akimnuu nyerere[emoji38][emoji38][emoji38] JF bhana ! yaani unamfahamu mtu mwingine kwa matamshi ya Nyerere !
Wape eneo la kukusanya kodi.tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.
Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
John Heche ni Mkurya , Erythrocyte ni Mnyakyusa wa Kyela , unaona ulivyokosea sasa !Nimecheka sana nikasema huyu ni JOHN heche au erythrocyte nikasema John huyu ulichokiandika hapo para 2 ,nimatamshi ya John akimnuu nyerere
Kwa John nimekosea Ila erythrocyte nimepatia ,nawatakia mapambano mema mnajaza sanaJohn Heche ni Mkurya , Erythrocyte ni Mnyakyusa wa Kyela , unaona ulivyokosea sasa !
Kwa taarifa yako , si rahisi kumfahamu mtu hapa jf
Tunakaribia sana kukomboa hii nchiKwa John nimekosea Ila erythrocyte nimepatia ,nawatakia mapambano mema mnajaza sana
tupo mlipo tupo japo sio kimwili Ila kiroho na akiliTunakaribia sana kukomboa hii nchi
Aminatupo mlipo tupo japo sio kimwili Ila kiroho na akili
Kenge..tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.
Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Limekugusa eeh ndo mfikishie ujumbe nshasema sasa na ww kavae ya mumeo basiJitahidi kuheshimiana kingongogo mkubwa wewe
Huwezi tamka maneno ya hovyo dhidi ya mwanamageuzi na billionaire SUGu moto chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Limekugusa eeh ndo mfikishie ujumbe nshasema sasa na ww kavae ya mumeo basi
Sidhani kama kakuelewa. Kuna kakikundi fulani humu kana jibu jibu watu kifedhuli lakini huwa wakati mwingine hata mada hawaielewi.Kwenye nchi masikini, agenda sio kitu cha kutafuta.
Mara sio Ruangwa, huko watu fikra zao ziko huruMsiruletee vurugu mkoani kwetu nendeni mikoani kwenu. Mara tunajielewa kama ni vurugu mmenoa.
Kuwasili Tarime ndo nguvu ya chadema?Novemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI, kwa tafsiri Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano, yaani uhai wa chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the chain au hizi Chadema digital ndio pumzi ya chama.
View attachment 2413276View attachment 2413277
Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa
Mungu ibariki Chadema .
Umesoma ulichokiandika?tatizo kubwa la viongozi wa chadema ni kuhubiri siasa za uchochezi, watanzania waanacho kitaka ni kutatua matatizo/kero za wananchi, igeni mwendo wa Hayati Ndesamburo, alikuwa anatatua kero za wananchi na sio kulalamika na kutuhumu.
Ukitaka wananchi waakukumbuke tatua kero zao zinanzo wakabili na sio kupiga domo.
Chadema wanapaswa wabadilike, wasidhani vijana ni wajinga.
Ushawishi tu bila matendo ni kazi buree!
Hao vigogo wote hapo wanamfanyia kazi mzee Mbowe ambae anatarajiwe kukabidhi chama kwa yule makele wa CANADA mapema mwakaniNovemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI, kwa tafsiri Nyerere alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa uko kwenye mikutano ya hadhara na maandamano, yaani uhai wa chama cha siasa uko kwenye amsha amsha ! haya ma Join the chain au hizi Chadema digital ndio pumzi ya chama.
View attachment 2413276View attachment 2413277
Tuliahidi kwamba Ikifika Novemba mtaielewa nguvu yetu , maneno matupu hayavunji mfupa
Mungu ibariki Chadema .
Swali lako ni la kijingaKuwasili Tarime ndo nguvu ya chadema?