Vigogo waangushwa uchaguzi CHADEMA

Vigogo waangushwa uchaguzi CHADEMA

Tundu Lisu nafasi ya makamu mwenyekiti hatoboi piga ua siweki sababu wazi
 
Matola,

Kula tano mwanangu, hapo umeongea kibingwa. Na huyo Mashinji apigwe chini haraka sana maana baadhi ya watu wanaoweka giza hapo CHADEMA ni yeye.
 
Kula tano mwanangu, hapo umeongea kibingwa. Na huyo Mashinji apigwe chini haraka sana maana baadhi ya watu wanaoweka giza hapo cdm ni yeye.
Mkuu naona umeweka msisitizo
 
Back
Top Bottom