Tetesi: Vigogo watatu na maelfu ya wanachadema Kahama kutimkia CCM

Jitekenye na kujikojolesha mwenyewe kama kawaida yenu.
 
Kwa hiyo wakitoka chadema na kurudi tena ccm wanakuwa oil mpya aisee kweli chadema wanatakasa wachafu ila tu wanawakata mikia

Leo jioni naomba kila mtu aagize supu ya mkia! maana mikia naona ni mingi sana nawaomba sana tafadhali hata kama hujawahi
 
Tehetehetehe. Wakirudi CCM watapewa muda wa kukiimarisha chama kutokana na athari walizozisababisha
Kwani polisi wameruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

Nauliza tu. Ni swali dhaifu
 
Wana moyo mgumu kweli, hawaogopi kukatwa "ncha ya uti wa mgongo" ?
 
Jeshi la Polisi limeruhusu Mikutano ya hadhara au hii haiwahusu CCM.
 
Hivi jamani ile sukari nyingi sana iliyoagizwa imefika au bado? Mbona kilo ya sukari bado ni sh. 3000?
sasa hayo ndio muhimu kuhoji ajabu nyie mmekimbilia kujenga ukuta kwanza[emoji3] [emoji3] hayaa maandalizi mema sisi tutawaona kwa tv mkihangaika kwa mabomu
 
Yetu macho. Tunasubiri. Kuna mtu alitutia matumaini wakati wa Mkutano wa CCM majuzi, ikaishia kwa akina fulani, ambao baadaye waliitwa ng'ombe wasiokuw ana mikia!
 
He sasa huo utakuwa mkutano wa misiasa sasa. Kwa hiyo fisiem wanataka kupiga propaganda lakini upinzani si ruksa? Are you insane?
 
sasa hayo ndio muhimu kuhoji ajabu nyie mmekimbilia kujenga ukuta kwanza[emoji3] [emoji3] hayaa maandalizi mema sisi tutawaona kwa tv mkihangaika kwa mabomu
Tusipomjengea ukuta atakimbia. Unajenga ukuta anakuwa ndani kisha unaanza kumhoji. Umeona ule ukuta aliyojengewa nyoka? Hawezi kutoka hata kama ni mjanja kiasi gani.
 
Pyuuuuxxxxxx ng'ombe kasoro mkia....
 
Hizi mechi kwanini zisichezwe uwanja huru kwa timu zote? mnawafunga wenzenu miguu halafu mnajisifia kwa uhodari wa mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…