Kwanza kuna watu wanafata mkumbo tu hata mtoa mada naye anafata mkumbo coz democrasia ni uwanja mpana sana sasa kila mtu ana haki ya kuchagua kiongozi anaye mtaka au chama anacho taka sasa mim namini ipo siku watanzania tuta jua mana ya kubadilisha viongozi sio kuangalia chama tunahitaji mabadiliko ya kimfumo ambao wote au hata 90%watanzania ali tufuate kwa kuheshimu na kulinda kwa pamoja sio mtu mmoja kama sasa ndio dalili inavyo elekea siasa zetu tuondoke kwenye ushabiki tuwe wazalendo kwa taifa letu watanzani tunahitaji mfumo ambao chama chochote kile ambacho wananchi wakiamua kukichagua basi kishike dola sio mfumo huu wa sasa ambao hata tume huru ya uchaguzi hakuna jamani kama sisi vijana wasasa tutashindwa kulazimisha mariziano na hawa wazee ambao ndio wameifikisha nchi hapa bas tukae tukijua kama tulikubali democrasia basi hatuna budi kuondoa vigingi vyake bila ya hivyo kuna siku damu itamwagika coz sija ona ujinga wa milele kwa mwanadamu alie sitarabika. by tevez mkereketwa namba 1 wa katiba ya Warioba