Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
Habari zenu wanajukwaa.
Serikali ya Tanzania imejigamba Kwa kusema imefanikiwa kupunguza Maambukizi ya Ukimwi Kwa Asilimia 58% ambapo Kwa mwaka watu 54,000 ndio hupata Maambukizi kutoka watu 130,000 mwaka 2003.
Wakati ikieleza hayo taarifa kutoka JKT zinasema Vijana wapatao 147 waliojiunga na mafunzo ya JKT Kwa lazima wamekutwa na virusi vinavyosababisha Ukimwi VVU..
Wakuu msiamini sana takwimu maana ngwe ngwe Bado ipo.Vaeni zana za kazi.View attachment 2506765
haijasema imemaliza kabisa tatizo ni hiyo 58% katika 100%, na ukiangalia 147 kati ya vijana hao ni kama 0.0009%. yes lazima tujikinge sana maana tatizo bado lipo limepungua tu, na tusipochukua tahadhari linaweza kuongezeka tena maradufu