Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Mkuu propaganda sometime hao machalii wengi ni madogo kwamba Wana ngoma ..Inakuwaje wanamechukuliwa na magonjwa yao hawataki magonjwa ya kuambukiza ? Labda wamateme ila kwa wanajeshi kama ni kweli mpaka wakimaliza mafunzi watakuwa 70% Wana ngoma .

Kuna michezo michafu kwa wanajeshi kipind cha mafunzo wanakuwa na utundu mwingi sana.Hao ndo walisambaza UKIMWI baada ya vita vya Kagera kwa kuutoa kule Uganda ambapo mwaka 1978 ulikuwa ndo uko moto sana wakauleta Tz.
Yaaah mkuu... Kule kuna mambo mengi sana...
Then kuna kuwaga na mind set kuwa jeshini kama una ngoma hutoboi.
Hivyo hufanya vijana waAmini wapo safe hapo wataogopa mimba na sio VVU
 
I speak with experience
Yani utelezi kama wote na sura inang'aa
Cheki ratiba hiyo sijui mwamba gani
[emoji1]

Ova
IMG-20230204-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom