Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
kupima sio shida shida kusubiri majibu hata kama umepima jana yake na kuwa negativeTukapime [emoji1]
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupima sio shida shida kusubiri majibu hata kama umepima jana yake na kuwa negativeTukapime [emoji1]
Ova
*"Whatever a means!Whatever a means!
Gunshots!
Sumu!
Njaa siku kumi
I am just joking, wengi hapo ni wasichana na wameupata kwa wababa wala vibinti...
Ila kwa kuwa wameshaupata wapige dozi watasonga kama kawa
Majibu ndo shida hapo. If nipo fit acha niwe hivi hivi.kupima sio shida shida kusubiri majibu hata kama umepima jana yake na kuwa negative
Sawa tu mkuu,,yupo tu nitakaye-enda naye sawa.Utaachika
Basi uache kutembelea ringiMajibu ndo shida hapo. If nipo fit acha niwe hivi hivi.
Kupima nitapima ka ikitokea nimeshikiwa AK47😂😂😂🙌🙌
Me napima sana tuMajibu ndo shida hapo. If nipo fit acha niwe hivi hivi.
Kupima nitapima ka ikitokea nimeshikiwa AK47😂😂😂🙌🙌
Umenikumbusha,kuna wakati nlikuwa nafanya safari ya kwenda nchi moja hivikupima sio shida shida kusubiri majibu hata kama umepima jana yake na kuwa negative
🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha,kuna wakati nlikuwa nafanya safari ya kwenda nchi moja hivi
Sasa kuna form ya kujaza mambo ya medical dah,kufanya medical check up
Ilikuwa unapima ngoma na mambo mengi ya afya kimwili
Tulikuwa 3 nakumbuka tulienda kufanya vipimo vya ngoma pale regency...eh wakati nasubiria majibu wenzangu siwaoni nliyokaa nao walitoka nduki
Mm nkachukua majibu yangu nkasepa
Kuendelea na process zangu
Ova
Usiombe wamuotee mama G, awe makini 🤣Hii Ni hali ya hatari,
Hawa wakimwagwa mtaani na mazoezi yalivowakomaza moto watakaosambaza Ni Mungu TU atunusuru[emoji2960]
Ukimwi ni huo huoHii Ni hali ya hatari,
Hawa wakimwagwa mtaani na mazoezi yalivowakomaza moto watakaosambaza Ni Mungu TU atunusuru[emoji2960]
Umvalishe rough rider au kamasutra utamu unapenya. Marufuku kupiga dekiMe napima sana tu
Sema kwakweli sio jambo rahisi.
Ndom nayo ndo hvo inapunguza utamu...basi shida kweli kweli
😂😂😂😂😂🤫🤫🤫🤫Basi uache kutembelea ringi
Rough rider iko tofauti sana sio kama dume bull au salama.Umvalishe rough rider au kamasutra utamu unapenya
Utapima mara ngapi... !?? Unapima ili ugundue nini..?Me napima sana tu
Sema kwakweli sio jambo rahisi.
Ndom nayo ndo hvo inapunguza utamu...basi shida kweli kweli
Alafu ka utelezi ukiwa wa kutosha ni ngumu sana kupata hicho kituWatu wanapenda sana nyama kwa nyama.
Kavu kavu kitu inateleza tu..))
Ndo maana sku hizi nimeacha kupima. Ilikuwa kila nikiuza mech napimaUtapima mara ngapi... !?? Unapima ili ugundue nini..?
Oky umepima upo neg
Unakaa kidogo unaenda tena kupima unakuta upo neg
Bado unakaa miezi kadhaa unaenda tena kupima....😳😳😳
Hapo kama kuna kitu unatafuta hivi..
Shortly mtu aliyepima akakutwa positive huyo hatpenda tena kupima maana kashapata kile alichokua anatafuta... Sasa wewe hapo una shida
Ila gharama, kuna wakati unapiga show manzi anauliza umevaa kweli mpenzi 🤣🤣🤣Rough rider iko tofauti sana sio kama dume bull au salama.
Bora gharamaIla gharama, kuna wakati unapiga show manzi anauliza umevaa kweli mpenzi 🤣🤣🤣