Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Kabisa chuo uhuru na baada ya hapo kazini, nilishajua ninao nikaishi kwa wasiwasi sanaa.

Nimekuja kupima, siku hiyo nikasema liwalo na liwe..nikakuta Negative.

Mfumo wa maisha umebadilika sana, namshukuru Mungu.
Kama upo fit ya nini upime.. kujipa presha tuu😂😂😂😂
 
Hawakujijua kivipi wakati walienda si walipimwa,ina maana wameambukizana huko jkt,wanataka kutuaminisha jkt sio mahal salama pa kupeleka watoto wetu,Kwan huko jkt wanajiachia mno
Yaaah huo ndo ukweli.. maana hao walioenda ni wale wa kujitolea.
Na mara nyingi hawa wa kujitolea huenda na fomu toka hospitali. kwa maana hiyo huo ugonjwa wamepatia huko huko,

Pia licha ya hayo yote kule jkt sio wote wana uwelewa wa maambukizi ya ukimwi. Hata kama wana uwelewa basi hawatilii maanani

Maana unakuta vijana wana share viwembe hapa mtu atatoka safe.
 
Hkuna bhna msiwazingizie wazazi bure Ni kwamba vijana Ni wachakata mbususa kwa kwenda mbele ukimwi siku hz hauogopwi
Hilo nalo neno. Kutokana na dawa za kupunguza makali ya ukimwi zinatolewa bure.
Hi inafanya vijana wengi kujisahau. Ukimwi sasa tunaishi nao ni kumeza njugu alafu unapita hivi repetation ishajenga mazoea
 
Back
Top Bottom