Hili swala lina ukweli au ni "Intimidation"
Kwa nn nimeuliza hivi ?
👉Nakumbuka kipind tunaenda advance ile form five tulipofika tulikuwa tunaambiwa na walimu na baadhi ya form six haswa viongozi kwamba wanafunzi wa hapa wale wa day (o-level) almost 15% Wana ngoma(HIV +)...Kitakwimu ni kweli ile wilay katika huo mkoa ndo ilikuwa kinara kwa maambukizi.
Maisha yaliendelea ila baada Kuna Wana walikuwa wanatongoza watoto kama kawa na watoto wa wilaya ile 70% ni weupe yaani wazuri wanang'aa sasa kule o level walipokuwa watu wanatongoza nao walikuwa wanaambiwa kwamba sisi (Advance) kama tumetoka mikoa tofauti kwamba sisi almost 50% tumeathirika😂😂... Wao wanatuogopa .
Itabdi tukae na wale mabroo watueleze vizuri ,wakasema ila ni psychological game of mind IL watu wasifanye ngono..Palikuwa na tetesi demu mmoja mkali eti ana UKIMWI ila Kuna jamaa alikuwa anatoka nae anasema hana wala nn 😂😂.