Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

Sahihi hawakujijua.
Na vile mujibu wa sheria ni wanachuo watarajiwa.. hao wote wanaenda chuo na vvu wanaendelea kusambaza.
Na hiyo ni evidence ya kuonyesha VVU nchini ni zaidi ya 2% kwa wastani, kama vijana wadogo under 20 kutoka shule walipokuwa wanafungiwa wamekutwa 2% ni waathirika na hawakujua, vipi watu wazima mtaani wenye uhuru na kipato.
 
147 kati ya 67,000 miaka mitatu hiyo ni asilimia 2 ambayo ni kawaida. Ila sasa waathirika wengi huwa hawaendi JKT hivyo wengi wa hao 147 hawakujijua. Na magonjwa ya zinaa watu wengi huanza kuyapatia chuo na kazini hasa hela na uhuru vikiingia
Kabisa chuo uhuru na baada ya hapo kazini, nilishajua ninao nikaishi kwa wasiwasi sanaa.

Nimekuja kupima, siku hiyo nikasema liwalo na liwe..nikakuta Negative.

Mfumo wa maisha umebadilika sana, namshukuru Mungu.
 
147 kati ya 67,000 miaka mitatu hiyo ni asilimia 2 ambayo ni kawaida. Ila sasa waathirika wengi huwa hawaendi JKT hivyo wengi wa hao 147 hawakujijua. Na magonjwa ya zinaa watu wengi huanza kuyapatia chuo na kazini hasa hela na uhuru vikiingia
Hapo chuo sasa....
 
Back
Top Bottom