ππ Jamaa kaamua bora aokoe muda acheze gemu ajipoze tu.Rafiki yangu katoka Mwanza Alhamis iliyopita kwa ajili ya huu usaili juzi akaniambia anaona roho inasita haendi tena kwenye usaili.
Kwahiyo jamaa jana tukaamka saa moja asubuhi tukacheza FIFA mpaka saa saba usiku, nimeamka muda huu ndiyo nakuta haya malalamiko.
Azam wametangaza lini hiyo taarifa mkuu?Waliomba ni 66800, walioitwa kwenda written ni 13000 tu.
Kwa mujibu wa azam tv.
Juzi mzee, niliona Instagram, ingia kwenye account yao Azamtv utaionaAzam wametangaza lini hiyo taarifa mkuu?
BAHATI MBAYA SANA,MAWAZO ADIMU NA ADHIMU KAMA YAKO,KAMWE HAWATAYAONA KWA SABABU WAPO KWA AJILI YAO NA SIO SISI.Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.
1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.
2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.
3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele
4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.
Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.
5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.
Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.
6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa
Mjerumani kwa miaka 15 alituletea maendeleo makubwa Sana ccm imeshindwa nini.
Acha tuππ Jamaa kaamua bora aokoe muda acheze gemu ajipoze tu.
hizo taasisi dawa ni kuwagomea kabisa msitume maombi popote nafasi za kazi zikitangazwa popoteNina imani hao niwachache tu waliojitokeza kwani bado huku mitaani tumebaki wengi ambao hatuku apply nafasi hizo za TRA,hii ni hatari!ajira sasa ni kama bomu la nyuklia
Hapa cha kushauriKwanza, serikali kupitia Wizara za kazi,fedha na ofisi ya waziri mkuu kuangalia namna ya kutengeneza ajira kwa vijana kwani kila mwaka idadi mitaani inaongezeka
Zifanyike juhudi za maksudi kutumia mabonde na mashamba makubwa ya chai,tumbaku,mpunga,mahindi,mboga mboga,uvuvi,miti na hata ufugaji kuwaingiza ajira vijana humo kwa serikali kuwasapoti kwa kununua matrekta mengi kujenga kambi kwa maana ya nyumba nyingi jirani na mashamba hayo mikoani, kuwawekea huduma zote muhimu za hospital,shule,mabenki nk,vijana wazalishe mazao yachakatwe serikali ifanye export.
Pili, serikali iwawekee milango wazi na kuondoa ugumu wa kupata hati za kusafiria kwa maana ya bei ya pasi na ulazima wa mtu kuulizwa anaenda nje kufanya nini,wananchi wote wapewe hati za kusafiria na serikali ihimize watu watoke kwenda nchi tofauti duniani kutafuta maisha huko,viwandani,mashambani,mahotelin,madereva,mafundi,migodini,wauguzi,na wengine kutangaza utamaduni,lugha ya kiswahilii nk..kama walivyozagaa mataifa ya wenzetu duniani hususan wakenya,Nigerians nk
Yakifanyika haya kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira litapungua
Nawasilisha.
tena nasikia hiyo 60000 ipo kwenye mfumo wa dola sasa uki convert kwa Tz fikiria wanafika ngapi aise kazi ipo60000 kwa 1000 hii sio dalili nzuri, huko tuendako naona watu wakichanganyikiwa.
[emoji28][emoji28][emoji28]Hali ni mbaya sana japo kuna watu bado wanajifariji, mtu anaenda mpaka kwa manabii kuombewa apate kazi huwa nacheka sana [emoji1][emoji1]
Waliomba ni 66800, walioitwa kwenda written ni 13000 tu.
Kwa mujibu wa azam tv.
Naona unaleta habari za UK bongoland..huku hawana hata hizo ajira..vijana wapo wanateseka namaiisha wakiamka hawajui pa kwenda..sasahivi hata kazi za kujitolea ni konekisheni.Watu wanaangalia fursa sio kazi
Yaani anaona alipata kaula
Kwani mkiitwa kwenye kazi zingine huwa wanakuwa wengi hivyo?
Dunia hata kwenye ajira za kila aina
Kama ikitokea fursa ya kazi yenye mshahara mnono sana basi watu wengi hujitokeza
[emoji636] dereva wa Train mshahara wake ni mkubwa mno kiasi wakitanganza dereva hata wawili, watu 600 wanajaza form
Hili nimepishuhudia kabisa na unakuta wengi wana ajira ila hiyo fursa ni adimu sana kwa mwaka ni Β£55,000 (165,000,000) ya bongo
Sasa Utaacha kujaribu na wewe wakati wengine mshahara ni nusu ya huo
Fursa hizo vijana Tz vijana wanataka ili wakale vizuri
Na kubetiHapo red, wala hilo sio Tatizo Kuipata mkuu. Ukiwa na docs zote within 2 weeks wanapata labda wapunguze bei kidogo. Ila Tatizo pesa/nauli looh, Tangu niipate yangu kribia inaExpire Sijawahi kuitumia hata hapo Namanga. Nadhani Wangeweka mfumo wa kukopesha pesa(Nauli snd other expenses) kwa ambao wanataka kwenda nje wakiwa na sifa halafu wawe wanakata hela yao taratibu.
Anyway naona serikali haina nia na mipango ya kuinua vijana wa taifa hili....Wacha tuendelee kukaba na kuiba kuku mitaani na kunywa Virobaπ’πΆπΆπΆ
Hilo nalo neno![emoji3][emoji3]Hapo red, wala hilo sio Tatizo Kuipata mkuu. Ukiwa na docs zote within 2 weeks wanapata labda wapunguze bei kidogo. Ila Tatizo pesa/nauli looh, Tangu niipate yangu kribia inaExpire Sijawahi kuitumia hata hapo Namanga. Nadhani Wangeweka mfumo wa kukopesha pesa(Nauli snd other expenses) kwa ambao wanataka kwenda nje wakiwa na sifa halafu wawe wanakata hela yao taratibu.
Anyway naona serikali haina nia na mipango ya kuinua vijana wa taifa hili....Wacha tuendelee kukaba na kuiba kuku mitaani na kunywa Viroba[emoji22][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani ki hesabu hapo unazikata hizo zero ...unapata watu 100 mnaenda kwenye usahili wa kugombea nafasi 1.aisee hii ni zaidi ya kubeti.Wanahitajika watu 10 kwenye usaili wanaitwa 1000 utakuwa mpumbavu ukienda
Naona unaleta habari za UK bongoland..huku hawana hata hizo ajira..vijana wapo wanateseka namaiisha wakiamka hawajui pa kwenda..sasahivi hata kazi za kujitolea ni konekisheni.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi wa Tanzania hajielewi yaani unanyanganywa saa alafu wanakaa kimya kama nyumbu Tanzania Kuna shida sana na tuna safari ndefu sanaTayari Wana watu wao,Uliona wapi mtahiniwa anyang'anywe saa, sasa atakadilia vipi mda wake.
Kama waliwapokonya Saa ilitakiwa wawawekee saa kubwa ukutani.
Kuwanyima watahiniwa haki ya Saa tayari huo mchakato ni batili.