Vijana 60,000 wanapowania nafasi 1,000 za ajira

Hapa kazi ipo,ndiyo matokeo ya porojo zisizo na maana...akili za viongozi zenyewe ni Kama akili za watt wao nyumbani...
 
Kitu ambacho hujui ni kwamba, hao wote kama si wengi wao, tayari wanajishughulisha ha na hizo ajira za kilimo na ufugaji ulizotaja, kinachotusumbua waTz ni tamaa tu
 
Hilo ndio la kwanza yani “kuitana kwenye sinia la pilau”
La pili ni mchongo wa kukwapua hela kulimbikiza kwenye account za nje
Ukiondoa Marekani ambako rais Bush alishakua na ndugu yake gavana (kwa juhudi zake)
Kuna nchi nyingine duniani ambayo unakuta rais Ana ndugu waziri, mkuu wa mkoa, mbunge, waziri mdogo n.k ambaye anapata hicho cheo kwa juhudi za mpangaji wa ikulu?
 
Jina Mkapa ondoa halipaswi kuwa sambamba na Nyerere au umesahau walivyogawana nyumba za serikali?
Afadhali umenikumbusha.
Ila wakati wa utawala wake mkapa hakua na mtoto mbunge au waziri au hata mkuu wa jeshi lolote au katibu mkuu au hata mkuu wa wilaya.
Sasa wengine mtu wa fedha mtoto
Mtu wa bunduki jirani
 
Nasikitika kwamba kwa serikali hii chini ya mboga mboga party ni ngumu kufanyika hayo sababu watu wapo kwa ajili yao binafsi
Salma Kikwete (mb) =mume alikuwa raisi
Riziwani kikwete (mb)= naibu waziri
january makamba (mb)= baba SG =CCM
Geofrey Pinda = (mb) naibu waziri wa sheia=baba PM
Nape nauye = (mb) waziri = mtoto wa nauye mhamasishaji mbogamboga
vita kawawa
kawawa wa bagamoyo
ditopile
halima bulembo
Kutaja wachache, hawa walisoma shule gani cc tukasoma wapiii
 
Mambo ya kusikitisha mno.

Badala serikali itoe ajira mpya.

Inasamehe wenye vyeti feki.
 
Nafasi zina watu tayari hata huo mtihani ilikuwa danganya toto. Wazazi waanze kuwaandalia watoto wao misingi kama mitaji ili wamslizapo vyuo wawe na pa kuanzia vinginevyo watoto wao wataendelea kudhalilishwa kupitia hizi ajira za serikali. Fikiria wale watu 11,000 waliowekwa uwanja wa taifa aibu gani hiyo?
 
Katika kutafuta maisha kuna cha aibu kweli?
Wabongo ndipo tunapofeli hapo.
 
CCM imeishiwa ubunifu..wanawaza kuiba uchaguzi tu. Na kuiba 10% Watu wenye akili timamu hawawezi wakanunua mandege ya matrillioni halaf wayapaki tu hayaendi popote. Na bado wanayaongeza!
 
Vijana wote Pro CCM wanamenya kwa Mbeleko FC 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…