Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wana JF wenzangu,

Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu.

Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya kula huko Ubelgiji. Sasa amerudi nyumbani na jeuri ya kutoheshimu maamuzi ya chama chake, pamoja na maono ya viongozi wake.

Ndugu Tundu aidha kwa kushikwa masikio au kutokutumia akili kufikiri kile anachosema, amekuwa akitumia majukwaa mbali mbali kuwashambulia viongozi wake na chama chake kwa kukubali maridhiano ambayo yanaonesha njia ya kuliponya taifa kutoka katika zile siasa za majitaka alizozizowea Lisu hadi katika siasa kistaarabu ambazo ndio alizozizowea Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho.

Sasa kwa vile Lisu anataka kupimishana ubavu na mwenyekiti wa chama ambacho ndio kilichomfanya leo afike hapo alipo, basi acha sasa na chama chenyewe kim punish kwa kumuacha azurure tu mwenyewe akibwabwaja huku na kule bila msaada wowote wa maana kutoka kamati ya chama na viongozi wa chama kwa ujumla.

Siku mwenyewe akijirudi na kulijua kosa lake na kutubu hata kimya kimya, chama kitamsamehe na kumpa support zote azitakazo.

Yeye kajifanya kupiga ngumi kwenye chongo za misumari afu anategemea watu wenye akili zetu tutamsaidia kulia. Lisu akumbushwe kwamba hata siku moja sikio haliwezi kuzidi kichwa.
 
Attachments

  • IMG-20230520-WA0008.jpg
    IMG-20230520-WA0008.jpg
    110.2 KB · Views: 5
  • FwkSyIIXoAAx-oS.jpg
    FwkSyIIXoAAx-oS.jpg
    79.3 KB · Views: 7
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    11.5 KB · Views: 4
Habari zenu wana JF wenzangu,

Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu.

Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya kula huko Ubelgiji. Sasa amerudi nyumbani na jeuri ya kutoheshimu maamuzi ya chama chake, pamoja na maono ya viongozi wake.

Ndugu Tundu aidha kwa kushikwa masikio au kutokutumia akili kufikiri kile anachosema, amekuwa akitumia majukwaa mbali mbali kuwashambulia viongozi wake na chama chake kwa kukubali maridhiano ambayo yanaonesha njia ya kuliponya taifa kutoka katika zile siasa za majitaka alizozizowea Lisu hadi katika siasa kistaarabu ambazo ndio alizozizowea Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho.

Sasa kwa vile Lisu anataka kupimishana ubavu na mwenyekiti wa chama ambacho ndio kilichomfanya leo afike hapo alipo, basi acha sasa na chama chenyewe kim punish kwa kumuacha azurure tu mwenyewe akibwabwaja huku na kule bila msaada wowote wa maana kutoka kamati ya chama na viongozi wa chama kwa ujumla.

Siku mwenyewe akijirudi na kulijua kosa lake na kutubu hata kimya kimya, chama kitamsamehe na kumpa support zote azitakazo.

Yeye kajifanya kupiga ngumi kwenye chongo za misumari afu anategemea watu wenye akili zetu tutamsaidia kulia. Lisu akumbushwe kwamba hata siku moja sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Kwamba Chama ndo kimemfikisha hapo!!!? Mbona sisi wengine tunaona kuwa yeye ndo amekifikisha chama hapo kilipo.

Kwa taarifa yako, hiyo Ruzuku ambayo imemfanya mchaga Mbowe awe na kiburi ni matokeo ya Kura za urais alizopata Lisu.

Nyumbu hamna shukrani
 
Nyumbu hamna
 
Kwan lissu kama kiongozi kwenye chama, hakuwa anashirikishwa chochote juu ya mchakato wa maridhiano tangu yalipoanza?
 
Laana inamtafuna,akae chonjo,isije ikamtokea kama ya Chacha Wangwe, Mbowe ni gaidi la hatari sana
 
Kwamba Chama ndo kimemfikisha hapo!!!? Mbona sisi wengine tunaona kuwa yeye ndo amekifikisha chama hapo kilipo.

Kwa taarifa yako, hiyo Ruzuku ambayo imemfanya mchaga Mbowe awe na kiburi ni matokeo ya Kura za urais alizopata Lisu.

Nyumbu hamna shukrani
😂😂😂
 
Lisu ni jeshi la mtu mmoja kama kipindi kile cha Magufuli 2015 alipotaka watu wamchague yeye kama yeye, na sio kwa sababu ya uccm wake.
 
Lisu ametoa mchango gani katika chama zaidi kubwabwaja tu majukwaani.

Lisu ndio mgombea uraisi wa kwanza wa Chadema kukipa chama hicho mbunge mmoja tu katika kipindi cha miaka zaidi ya 15 ya Chadema kama chama kikuu cha upinzani nchini.

Sasa mchango huo ni upi katika chama?
 
Kwan lissu kama kiongozi kwenye chama, hakuwa anashirikishwa chochote juu ya mchakato wa maridhiano tangu yalipoanza?
Alikuwa anashirikishwa vizuri na kukubaliana na wenzake ila akishafika nje anageuka na kuanza kuwashambulia wenzake.

Hizi ni siasa za kioga na kinafiki ambazo hazina tija yoyote kwa dunia ya sasa.
 
Lisu ni jeshi la mtu mmoja kama kipindi kile cha Magufuli 2015 alipotaka watu wamchague yeye kama yeye, na sio kwa sababu ya uccm wake.
Lisu bila Mbowe na Chadema ni sawasawa na chai isiyokuwa na sukari. Hainyweki.
 
Habari zenu wana JF wenzangu,

Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu.

Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya kula huko Ubelgiji. Sasa amerudi nyumbani na jeuri ya kutoheshimu maamuzi ya chama chake, pamoja na maono ya viongozi wake.

Ndugu Tundu aidha kwa kushikwa masikio au kutokutumia akili kufikiri kile anachosema, amekuwa akitumia majukwaa mbali mbali kuwashambulia viongozi wake na chama chake kwa kukubali maridhiano ambayo yanaonesha njia ya kuliponya taifa kutoka katika zile siasa za majitaka alizozizowea Lisu hadi katika siasa kistaarabu ambazo ndio alizozizowea Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho.

Sasa kwa vile Lisu anataka kupimishana ubavu na mwenyekiti wa chama ambacho ndio kilichomfanya leo afike hapo alipo, basi acha sasa na chama chenyewe kim punish kwa kumuacha azurure tu mwenyewe akibwabwaja huku na kule bila msaada wowote wa maana kutoka kamati ya chama na viongozi wa chama kwa ujumla.

Siku mwenyewe akijirudi na kulijua kosa lake na kutubu hata kimya kimya, chama kitamsamehe na kumpa support zote azitakazo.

Yeye kajifanya kupiga ngumi kwenye chongo za misumari afu anategemea watu wenye akili zetu tutamsaidia kulia. Lisu akumbushwe kwamba hata siku moja sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Nimejikuta nacheka kama uliyoandika ni mazuri vile 😃😃😃
 
Back
Top Bottom