Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Na umeweka picha mzee ilibwaje PM kuomba connection.. hahaaaaa

Wataliwa watu hapaaaa👆🤣😂
 
Sawa ngoja tuanze mkuu
 
Ndoto za alinacha...mm ukinikuta sehemu nmetulia napunguza stress alaf ukaja kujichanganya nakutoa na makofi ya shingo.
🤣🤣🤣🤣
Kuna mbongo mmoja alikuwa analilia humu JF anataka kurudi bongo anasema ulaya wazungu wabaguzi
eti kaiingia baa kaagiza pombe, halafu kawafata kwenye meza yao na kujiunga na kukaa, wazungu wote wakaamka na kumwachia meza🤣🤣🤣🤣
 
NDUGU mtoa mada! Ahsante kwa ushauri wako mzuri kabisa na wenye manufaa kwenye kutengeneza mtandao wenye manufaa!
Sasa kwa sisi ambao sio watumia vilevi... Kama pombe nk...
Unatushauri kuingia kwa gia gani hayo maeneo! Ili tuweze kupata connection??
Unaenda kuzuga hata na lunch ya bei unayoimudu na maji yako makubwa
 
Mnatamani Sana kuishi maisha siyo yenu. Mna fantansy za kisoro kwenye fikra zenu. Lima hata kabustani kambogamboga uwani kwa shemeji yako utatoka tu na itakuweka busy.

Nyau ww!

Anataka vijana wenzake wakafirwe kimasihara , hakuna tajiri aliyetoka kwa mbinu hizo. Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa juhudi na maarifa huku ukiheshimu watu wote then ongeza ubunifu wa kile unachofanya basi connection itakukuta unapambana utegemee connection Bar na Hotel kama unaenda kujiuza
 

Hotel gani na mimi Niko Arusha nataka ni we naenda hapo
 
Hata mwanamke unaetega ama kujiuza u will never make a move kwa mwanaume...
Utachill wth ur business na kujipitisha tu hadi the Man makes the moves himself...

Akutumie vinywaji ama aombe namba etc

Binafsi ukinifata kwny meza sikujui either ntakuachia meza ama ntakujulisha utuache
 
Mtizamo wako ni wa kishamba sana we jamaa, sasa mtu hana ajira hela ya kwenda Serena hotel anaipata wapi?!
Umeandika bila kutumia akili kabisa.. Sasa unadhani vizuri vinakuja bila kuumia na kutumia ghalama? Kauze machupa, fanya kazi za vibarua, tafuta fedha kidogo ndipo unajisogeza Serena hapo ku bet maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…