Inashangaza sana lazima uwe na vielement vya kujipendekeza pendekeza na kukosa aibu.Muwe makini,. Utapeli, ushoga, dili za kufanywa chambo, but how unaenda kujoin meza ya wanaume wenzako ambao umewakuta mezan,, bora kufa BILA ajira kama ndo hvo
Mzee una fix kinoma![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana mzee wa threesome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Acha upuuzi kuandermime watuDah mnatafuta sifa za kijinga jamvini. Wewe si ni TAGA LB7? Elfu saba kwa siku sijui kwa wiki mnazolipwa kumtukana Mbowe ndio zikupeleke hotel kubwa sea cliff?.
British legion Tanganyika clubNenda sehemu za kutumia zenye members wazito mawaziri,majaji,wafanya biashara wakubwa etc jiunge na wewe hapo ndipo utapata connection
Unapajua hapa wapi.....
Ova
View attachment 2076345
Kweli kabisa.Wanywa soda ni wanafiki sana
If you can't make it then fake it - Chinese proverb.Hayo mengine hayanihusu...hapo kwenye milioni tano tugawane umaskini mzee mwenzangu
Wanakupoteza maboya tu, mahotelini wanakwenda wauza mbunye kuda.Hotel gani na mimi Niko Arusha nataka ni we naenda hapo
Umetisha..Hiyo ni menu ya Capetown Fish Market[emoji226]
Na hii type ya connection naona inawafaa wanaume. Mwanamke ukifanya hivyo utaonekana muuza k tuIf you can't make it then fake it - Chinese proverb.
Nadhani utakuwa umenielewa kuhusu huyu mtowa mada.
SanaKwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.Na hii type ya connection naona inawafaa wanaume. Mwanamke ukifanya hivyo utaonekana muuza k tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwahio unashauri vijana wakitoka interview dom wajigawe wengine ctfm wengine seacliff sio [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji847] eti kubet maisha yakoUmeandika bila kutumia akili kabisa.. Sasa unadhani vizuri vinakuja bila kuumia na kutumia ghalama? Kauze machupa, fanya kazi za vibarua, tafuta fedha kidogo ndipo unajisogeza Serena hapo ku bet maisha yako.
Watu wanapotezana maboya apa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wanasema tu haya mambo sio rahisi kiasi hiki kama ilimtokea mtu basi ilikuwa bahati yake tuPale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.
Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.
Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.
Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
Umeongea ukweli Matola...Serena mdada ukifika tu mlangoni umevaa kichangu unarudishwa[emoji848]Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.
Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.
Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.
Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
Absolutely [emoji817]Watu wanapotezana maboya apa
Hizo sehem ukienda kama hamfahamiani wala kitu cha kuwaunganisha hamna mwenye time na mtu
Labda ujipendekeze kusalimia jambo ambalo ni ajabu kwa wengine