Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.

Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.

Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.

Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.

Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Mzee una fix kinoma![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana mzee wa threesome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.

Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.

Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.

Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.

Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Sana
 
Na hii type ya connection naona inawafaa wanaume. Mwanamke ukifanya hivyo utaonekana muuza k tu
Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.

Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.

Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.

Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
 
Umeandika bila kutumia akili kabisa.. Sasa unadhani vizuri vinakuja bila kuumia na kutumia ghalama? Kauze machupa, fanya kazi za vibarua, tafuta fedha kidogo ndipo unajisogeza Serena hapo ku bet maisha yako.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji847] eti kubet maisha yako
 
Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.

Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.

Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.

Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
Watu wanasema tu haya mambo sio rahisi kiasi hiki kama ilimtokea mtu basi ilikuwa bahati yake tu
 
Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.

Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.

Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.

Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
Umeongea ukweli Matola...Serena mdada ukifika tu mlangoni umevaa kichangu unarudishwa[emoji848]
 
Watu wanapotezana maboya apa
Hizo sehem ukienda kama hamfahamiani wala kitu cha kuwaunganisha hamna mwenye time na mtu
Labda ujipendekeze kusalimia jambo ambalo ni ajabu kwa wengine
Absolutely [emoji817]

Utaanzaje kujipendekeza kwa wanaume wenzako sijui unawajoin sijui unawasalimia si watakushangaa[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom