Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅
witnessj hebu njoo
 
Hahahahahah yani we na njaa zako utegemee kujikomba kwenye meza ya wenzio mle ndani😅 wanaume wenzio wana discuss mambo yao private we ukurupuke tu..,”Aisee ni vipi wazee?” hahahaha lazma uchekeshe
 
Wanawake wadangaji wengi si hujipeleka mle kulenga ma boss sema inaonekana washashitukiwa so wanapigwa pini!
 
Nakuamini,na mtaji wa kwanza Ni watu aisee.....Vijana tokeni out za maana
Nyie mnaolipiwa hizo out na madanga ni vyepesi 😅 ila kwa kijana ambaye anaishi kwa shemeji yake hizo hela za kwenda ku hang out masaki kila siku nani anatoa?

Yani mtu akomae na bajaji siku nzima apate 30 yake halafu akale milkshake na chips masaki?😅 kisa tu apate connection ya kazi huo ujinga nani anafanya?
 
Wanawake wengi si walivamia makundi ya Jogging Club Masaki wakijua kule kuna vibopa ndoa nje nje kilichotokea ni kuliwa kimasihara na tabu iko pale pale😅 ha ha ha!
Na zile Marathon hujazisema,watu Hadi wanazisafiria Mara mikumi marathon hapo Moto,kili marathon haooo chuga were Hapana chezea watu na mbinu zao.
 
Pis kale za mjini zote zimejiongeza baada ya kuzalishwa na mabosi ña kuhamia Dodoma kwahiyo Sasa hivi pis kale zote Ni single Maza na zimejiongeza kufungua pub na sisi ndio tunaponea hapo kwa kuchanganya damu
 
Tusiokunywa pombe unatushauri tukiingia humo tutumie vinywaji gani mkuu?

Maana mwaka fulani nilifukuzwa na jamaa zangu eti nawaletea nyuki kisa wao wanakunywa beer mimi nina grand malt kwenye meza yao,ila fresh tu but wanywa pombe Mungu anawaona.
Mnaokunywa soda mna mambo ya kiwaki sana mapashkuna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na zile Marathon hujazisema,watu Hadi wanazisafiria Mara mikumi marathon hapo Moto,kili marathon haooo chuga were Hapana chezea watu na mbinu zao.
Hahahahah hii ya kusafiri kuna mtu namjua huwa anaungaga sana hizo Marathon ila nae kaambulia patupu😅 ubao unasoma 0-0. Maisha sio mepesi jamani warembo mukaze tu
 
Inawezekana ikawa kweli, ila ni wangapi wamefanikiwa kwa njia hii kati ya wengi. Inawezekana njia hii imemsaidia mtu fulani ila ni bahati tu imetokea kwake ikajadiliwa kazi au mchongo.

Maana Sasa kwenye festival utajuaje huyu Ni manager, director au Ceo mahali Fulani ? au Wanakuaga na label ?
Kwahiyo wewe Ni kuzunguka festival nzima kuomba na kuongelea shida ya kazi , kwelii ? 🤣🤣

Yaani mtu azunguke Kwenye mashughuli ya starehe yote ya mjini ili abahatishe kukutana na managers, Ceo , directors hata uhakika kwamba watakuwepo haupo na Wala hawajui.
Labda uniambie zile events za proffessionals nitakuelewa.

Mambo mengine Ni bahati tu, unaweza kukutana na muujiza wako wa kazi hata barabarani. Sio basi mtu akifanikiwa kwa njia hii na wewe unaanza kuzunguka barabarani eti barabarani Kuna connections 😀😀

Duniani lilia bahati mambo Mazuri yatakufuata haijalishi eneo, usisahau pia kufanya bidii Yenye akili. Ukiwa tayari umejipanga kupokea muujiza utapokujia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…