Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Anataka vijana wenzake wakafirwe kimasihara , hakuna tajiri aliyetoka kwa mbinu hizo. Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa juhudi na maarifa huku ukiheshimu watu wote then ongeza ubunifu wa kile unachofanya basi connection itakukuta unapambana utegemee connection Bar na Hotel kama unaenda kujiuza
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅
witnessj hebu njoo
 
Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.

Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.

Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.

Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
Hahahahahah yani we na njaa zako utegemee kujikomba kwenye meza ya wenzio mle ndani😅 wanaume wenzio wana discuss mambo yao private we ukurupuke tu..,”Aisee ni vipi wazee?” hahahaha lazma uchekeshe
 
Pale Serena usiku msichana akija peke yake kavaa kimitego anazuiwa mlangoni.

Kuna siku dada mmoja sijui kama anadanga au alikuja kwenye mambo yake aliniomba tuingie wote ndani ili mlangoni wasimsumbuwe, tulikutana kwenye parking na alikuwa na gari.

Tulipoingia ndani kila mtu aliendelea na mambo yake sikumfuatilia maana sicho kilichonipeleka.

Ila haya mambo watu wanakariri tu, mimi nimefanyakazi na wazungu kwa miaka mingi na connection za ulaya sijawahi kupewa na wao zaidi ya washkaji zangu blacks ambao wapo huko.
Wanawake wadangaji wengi si hujipeleka mle kulenga ma boss sema inaonekana washashitukiwa so wanapigwa pini!
 
Nakuamini,na mtaji wa kwanza Ni watu aisee.....Vijana tokeni out za maana
Nyie mnaolipiwa hizo out na madanga ni vyepesi 😅 ila kwa kijana ambaye anaishi kwa shemeji yake hizo hela za kwenda ku hang out masaki kila siku nani anatoa?

Yani mtu akomae na bajaji siku nzima apate 30 yake halafu akale milkshake na chips masaki?😅 kisa tu apate connection ya kazi huo ujinga nani anafanya?
 
Pis kale za mjini zote zimejiongeza baada ya kuzalishwa na mabosi ña kuhamia Dodoma kwahiyo Sasa hivi pis kale zote Ni single Maza na zimejiongeza kufungua pub na sisi ndio tunaponea hapo kwa kuchanganya damu
 
Tusiokunywa pombe unatushauri tukiingia humo tutumie vinywaji gani mkuu?

Maana mwaka fulani nilifukuzwa na jamaa zangu eti nawaletea nyuki kisa wao wanakunywa beer mimi nina grand malt kwenye meza yao,ila fresh tu but wanywa pombe Mungu anawaona.
Mnaokunywa soda mna mambo ya kiwaki sana mapashkuna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na zile Marathon hujazisema,watu Hadi wanazisafiria Mara mikumi marathon hapo Moto,kili marathon haooo chuga were Hapana chezea watu na mbinu zao.
Hahahahah hii ya kusafiri kuna mtu namjua huwa anaungaga sana hizo Marathon ila nae kaambulia patupu😅 ubao unasoma 0-0. Maisha sio mepesi jamani warembo mukaze tu
 
Inawezekana ikawa kweli, ila ni wangapi wamefanikiwa kwa njia hii kati ya wengi. Inawezekana njia hii imemsaidia mtu fulani ila ni bahati tu imetokea kwake ikajadiliwa kazi au mchongo.

Maana Sasa kwenye festival utajuaje huyu Ni manager, director au Ceo mahali Fulani ? au Wanakuaga na label ?
Kwahiyo wewe Ni kuzunguka festival nzima kuomba na kuongelea shida ya kazi , kwelii ? 🤣🤣

Yaani mtu azunguke Kwenye mashughuli ya starehe yote ya mjini ili abahatishe kukutana na managers, Ceo , directors hata uhakika kwamba watakuwepo haupo na Wala hawajui.
Labda uniambie zile events za proffessionals nitakuelewa.

Mambo mengine Ni bahati tu, unaweza kukutana na muujiza wako wa kazi hata barabarani. Sio basi mtu akifanikiwa kwa njia hii na wewe unaanza kuzunguka barabarani eti barabarani Kuna connections 😀😀

Duniani lilia bahati mambo Mazuri yatakufuata haijalishi eneo, usisahau pia kufanya bidii Yenye akili. Ukiwa tayari umejipanga kupokea muujiza utapokujia.
 
Back
Top Bottom