Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye NGURUWE patanishinda. Ndio keanza nasubiri ikauke hapa.Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uvie
Hiki kiumbe kinasingiziwa sanaNguruwe unahusikaje hapo ....???
Kwa pesa zetu tunanunua, acheni kukandia biashara za watu..... vita ya Kiuchumi hii.Kwa hiyo mnawapa sumu ya pombe sio
Nguruwe wetu kaingiaje hapo!Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Sijui tutaponea wapi? Jana nimekunywa Guinness kubwa zile 5 uuuuwi!Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
ImagineSasa kulikuwa na ulazima wa kumuweka My wetu hapo? Watu wivu mtaacha lini?
Wapuuzi sana hawa watu,kifupi changamoto za Figo zinawapata waathirika wa ukimwi kutokana na dawa wanazotumia kila sikuWatoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
Acha kumsingizia nguruwePombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
nitajitahidi mkuu ila hiyo kitu (bold) nisamehe sana mkuu. 😀Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Au ndio kampeni za kuharibu biashara za watu.Wapuuzi sana hawa watu,kifupi changamoto za Figo zinawapata waathirika wa ukimwi kutokana na dawa wanazotumia kila siku
Kwa mujibu wa Dokta Pedro wa Jakaya Kikwete Cardiac institute ni kwamba energy drinks zinasababisha mishipa ya moyo kuziba...anasema baadhi ya hizo energy drinks zinaWatoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
Energy na pombe pia zinamaliza nguvu za kiumeNimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-
1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki Figo zikishindwa kufanya kazi.
2. Watanzania 10 kati ya 100 wana tatizo la Figo
3. Wahanga ni vijana umri kati ya 24-40
4. Gharama za kusafisha Figo kwa mwaka ni wastani wa TZS 31,200,000 Hadi 46,800,000 bila kuweka gharama nyingine kv usafiri
5. Energy drinks ni disaster kwenye moyo kwa mujibu daktari bingwa wa JKCI.
6. Matumizi ya vinywaji hivi yanaathiri pakubwa viungo vitatu ambavyo ni
-Ini,
- Figo na
- Moyo.
7. Wahanga wakubwa ni vijana wa kiume.
MY TAKE:
Vijana acheni pombe, taifa linawategemea. Linda afya yako. Afya ni mtaji.
Nguruwe kaingiaje hapa shwain wwPombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
Ndio sababu mapenzi ya vijana siku hizi hayadumu!. Watu wanadhani kisa na mkasa ni pesa kumbe ni vijana wako Hoi bin taaban sababu ya mapombe, kimoja tu chaliii, kwanini mtoto wa watu abaki!Energy na pombe pia zinamaliza nguvu za kiume
Maji, sukari, ladha, caffeine n.k ni vitu vipo kwenye vinywaji vingi tu na si energy drink pekee mi nachohitaji kuelimishwa kuna chemical zipi zenye kuharibu figo kwenye energy drinks? Au kama kuna wingi wa chemical flani waeleze kitaalamu.Kwa mujibu wa Dokta Pedro wa Jakaya Kikwete Cardiac institute ni kwamba energy drinks zinasababisha mishipa ya moyo kuziba...anasema baadhi ya hizo energy drinks zina
Na kemikali nyingine lukuki zenye athari kwenye mishipa ya moyo kwa sababu zinasupress mishipa ya moyo
- maji
- sukari
- ladha
- caffeine
- mitishamba
- tauline (amino acid)
- protini
Na bad cholesterol je zinasababisha nini katika mishipa ya damu?Kwa mujibu wa Dokta Pedro wa Jakaya Kikwete Cardiac institute ni kwamba energy drinks zinasababisha mishipa ya moyo kuziba...anasema baadhi ya hizo energy drinks zina
Na kemikali nyingine lukuki zenye athari kwenye mishipa ya moyo kwa sababu zinasupress mishipa ya moyo
- maji
- sukari
- ladha
- caffeine
- mitishamba
- tauline (amino acid)
- protini
Sijui tutaponea wapi? Jana nimekunywa Guinness kubwa zile 5 uuuuwi!