Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

Watoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
 
Watoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
Wapuuzi sana hawa watu,kifupi changamoto za Figo zinawapata waathirika wa ukimwi kutokana na dawa wanazotumia kila siku
 
Watoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
Kwa mujibu wa Dokta Pedro wa Jakaya Kikwete Cardiac institute ni kwamba energy drinks zinasababisha mishipa ya moyo kuziba...anasema baadhi ya hizo energy drinks zina
  • maji
  • sukari
  • ladha
  • caffeine
  • mitishamba
  • tauline (amino acid)
  • protini
Na kemikali nyingine lukuki zenye athari kwenye mishipa ya moyo kwa sababu zinasupress mishipa ya moyo
 
Energy na pombe pia zinamaliza nguvu za kiume
 
Energy na pombe pia zinamaliza nguvu za kiume
Ndio sababu mapenzi ya vijana siku hizi hayadumu!. Watu wanadhani kisa na mkasa ni pesa kumbe ni vijana wako Hoi bin taaban sababu ya mapombe, kimoja tu chaliii, kwanini mtoto wa watu abaki!

Mtu hafanyi mazoezi, kanenepeana hela hana halafu anakunywa pombe kama mnyama komba kwanini awe na nguvu za kiume...au hamkusikia kisa cha wake za watani zangu kule Rombo wamama walikuwa wanavuka mpaka kutafuta huduma Kenya sababu waume zao cha pombe hawawezi kitu.

Kijana acha pombe.
 
Maji, sukari, ladha, caffeine n.k ni vitu vipo kwenye vinywaji vingi tu na si energy drink pekee mi nachohitaji kuelimishwa kuna chemical zipi zenye kuharibu figo kwenye energy drinks? Au kama kuna wingi wa chemical flani waeleze kitaalamu.
 
Na bad cholesterol je zinasababisha nini katika mishipa ya damu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…