Nimewai Kuwa na demu nikiwa sina kitu kabisa alinivumilia Sana na kunisupport saana ila kila siku mambo yalikuwa vile vile nakumbuka nilikuwa Kwenye mkataba wa bajaj.
Nakumbuka alinambia nakupenda Ila tatizo Huna Hela na matatizo yako hayaishi
Baadae ya kumdadisi nikagundua alikuwa anawekeza Ili Apate faida Mana siku tulioachana alicalculate kila msaada wake na akasema nimlipe...nikabaki nalia tu kumbe msaaada ulikuwa na target.