Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

Mapenzi nikama msigwa kwa ccm ni liability na si asset.awe mke awe baba mama sijui watoto matako jua ni liability ikitoka imetoka.trab and trat kuararumpaa
 
Nimewai Kuwa na demu nikiwa sina kitu kabisa alinivumilia Sana na kunisupport saana ila kila siku mambo yalikuwa vile vile nakumbuka nilikuwa Kwenye mkataba wa bajaj.
Nakumbuka alinambia nakupenda Ila tatizo Huna Hela na matatizo yako hayaishi
Baadae ya kumdadisi nikagundua alikuwa anawekeza Ili Apate faida Mana siku tulioachana alicalculate kila msaada wake na akasema nimlipe...nikabaki nalia tu kumbe msaaada ulikuwa na target.
Ulimlipa?
 
Back
Top Bottom