Ni hatari sana, yani saa 3 hii hii na dakika 55 namimi nakuja kukuunga mkono kuponda vijana wenzetu, balaa sana mkuuJumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.
Hela kitu kingine bwana....ila bonge la mchezaji.azizi anaondoka🤣🤣🤣🤣
Marubani tunafuatilia kwa ukaribu mchongo pesa.Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.
Sasa huo muda unaojadili mpira unaingiza kiasi gani? Maana wakati wewe unajadili mpira, pesa ipo kwenye mzunguko na haiwezi kukufuata, watu wanaoitaka pesa wanaitafuta.Wewe bwana kazi zenyewe hatuna sasa unataka tufanye nini
Kuna jamaa nimeanza kubishana nae kuhusu issue ya Aziz Ki kuanzia saa 12 asubuhi hata kazini sijaenda... Na siendi kazini.Hela kitu kingine bwana....ila bonge la mchezaji.
Kwa hio saa 3 hatutakiwi kuzungumzia kua Aziz ki kagoma kusign team ya utopoloJumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.
Hela mnapata wapi rafiki?Wewe bwana kazi zenyewe hatuna sasa unataka tufanye nini
Take it easy bro....hakuna nchi ambayo watu wote wapo serious ndio maana nyie wasomi mmepewa jukumu la kufikiri kwa niaba ya nchi...Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.
watu wameshabet hapo wanasubiri matokeoJumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.
Mzungu na mwarabu Hana jema dhidi ya muafrika.... Akianzisha jambo lolote lile ujue ana mipango yake kandamizi kwa manufaa yake... Mfano Mpira namna mambo ya maushabiki yalivyo anza kimasihala miaka ya 2000 mwanzoni kama masihala vile... Jitu unakuta linamapenzi na timu hadi linafika hatua ya kujiua huko ulaya na baadhi ya waafrika mambumbumbu hawafikirii basi kisa kafanya mzungu yanaiga.... Mbaya zaidi kafanya fitna mipia imeingia katika kila sekta muhimu.... "Bungeni, mahakamani, serikalini, makanisani, misikitini, makazini vijiweni ambapo zilikuwa sehemu za kujadili mambo ya maendeleo ya taifa....Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.