Mie mwenzio nipo nalisha na lishangaziVibaya hivyo kunyimana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenzio nipo nalisha na lishangaziVibaya hivyo kunyimana!
Ila wewe hapa unajadili huu muda ambao sawa na hao vijana.Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka anawaza kuhusu maisha ya watu wengine na siyo ya kwake.
===
Pia soma;