Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hello,
Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae.
Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama fulani nikiwa chuo na mimi ndio nilikuwa muhamasishaji pale chuo, lakini mwisho wa siku nimejikuta nimepoteza muda wangu pasipo na faida.
Leo hii siwezi sema kuwa nimenufaika na chochote kwenye hicho chama zaidi ya mimi kuumia sana. Juzi hapa nimeona vijana wengi wakiwa njiani wanamsubilia Mh fulani hili kumpokea ukiangalia vijana hao hawana ajira mpaka sasa, na zaidi bado maisha yao ni ya kuunga unga licha ya kupewa ahadi nyingi na wanasiasa ambazo hakuna hata moja zinazotekelezwa, leo vijana wapo vijiweni wanajaza ujinga.
Vijana wengi wanakosa kuajiliwa hata kupewa mikopo ya biasha kwasababu vyama vyao bado awajajenga imani na vijana wao ambao ndio wanawaita viongozi wa kesho, huku wanasiasa wamejikita kutengeneza njia kwaajil ya watoto wao.
Sikia niwaambieni hao wote mnao waona majukwaani wanapambana kukosoa serikali wanatafuta ugali wao maana wakiacha kupayuka watakula wapi?
Vijana badilikeni, acheni kutumika. Nataman mngekuwa mnanielewa japo uandishi wangu siyo mzuri.