Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

Hivi ni kweli ukiwa UVCCM unapata ma connector fasta🤣na ajira kwako ni simple.?
 
So unadhani kikwete hakumtengenezea riziwan njia? Mwinyi hakumtengenezea Hussein njia? Makamba je? Babake Mbowe alikuibia nini? Hujui mafisadi wote nchi hii ni mambuzi?

Huo ni mfano tu mkuu
 
Kwa hiyo wewe chuki yako ni kwa Mbowe siyo! Mbona hutolei mfano wa akina Karume,Nyerere,Kaunda,Kenyatta,Mandela,Mugabe,Nkwameh Nkrumah,Hakainde Hichilema nk ili kuwatia moyo vijana.

Sina chuki na mbowe hila nime mtolea mfano tu
 
chawa kwenye ubora wako. hata kwenye kujenga nyumba ni gharama na unakufa kabla hata hujaamia. kuna bibi kule moshi alikuwa na wajukuu watatu aliachiwa na mwanae ambae alishatangulia mbele za haki.alikaa na wajukuu wake aliwasomesha kwenye shida akauza kila kitu ili wajuku wake wasome mpaka wakamaliza chuo ila mungu alimpenda zaidi.naomba uamini nachokwambia: wale vijana ni matajiri kuna mmoja anafanya kaz bandarini mwngine yuko kanada na mwngine ni mhasibu wa kampuni ya madin barick.wakijaga moshi wakiliona kaburi la bb wanalia kwasababu bb yao hakufaidi matunda aliyowekeza kwao.hawa vijana wanachofanya kila mwaka wanawajengea watu nyumba za kisasa za kifahari kila mwaka nyumba 15 huu ni mwaka wa 8 wamejenga nyumba 120 pale kjjn hakuna nyumba ya udongo wanaenzi ukarimu wa bb kadri wanavyotoa mungu anawabariki...kwahyo kutoa c utajiri bali n moyo bb alikufa lakn hakujali umaskini wake na hakufaidika na chochote wanaokuja kufaidi ni wengine na hata uharakati ni kujitolea kwa sababu ya wengine.hata wazee wetu wa zamani walipgana na wajerumani na wazungu ili ww uje uishi maisha unayoishi sasa japo hakuna walichofaidi .ila ww kidagaa unajiwazia ww na tumbo lako kenge ww

Wewe unaona hao unaosema wanajitoa kwaajili ya wengine ushawai pita kwenye majimbo yao
 
We tahira kwan we inakuuma nn? Wamekuja kukuomba hata maji uko kwako, eti hasa upinzan je wale wanaoitwa chawa hawatumiki au siyo we peleka uccm wako uko.
 
Lakini shida bado hawajitambua ni nini wantakiwa kufanya na kwa wakati gani?

Leo hii uwezi niambia kijana ambaye yupo huko madina anajiita mwanacha mkeleketwa atapa fursa zinapotokea za kugombea uongozi,

tumeshuhudia vijana wakimasikini wakikatwa kwenye majina ya kuogombea uongozi katika vyama vyao na badala yake, viongozi hao hao wanawachagua vijana wao na kuwapitisha hapo utasema vijana wana nafasi kwenye siasa?
Katika maisha mambo yanaenda namna hii, tunakuwa na matarajio juu ya kitu fulani, matokeo yatokanayo dhidi ya hayo matarajio hulinganishwa/hupimwa na matokeo halisi, ikiwa, matokeo halisi yamefikia/yamevuka yale matarajio ndo hapo tunapojizatiti zaidi katika jambo hilo.

Hivyi hivyo katika siasa, kila mmoja huchagua upande/chama anachoamini kwa namna moja au nyingine kitamwezesha kufikia/kutimiza matarajio yake, kumbuka, matarajio ya hao "vijana" sio tu kuwa sehemu ya uongozi ama katika chama au serikalini.

Kun matarajio ya uwezekano wa kuja na sera nzuri kwa upande anaouamini na kuzalisha ajira zaidi, kupunguza gharama za maisha tunazoshuhudia zikiongezeka kila siku, upatikanaji wa pembejeo kwa gharama nafuu, yapo matarajio mengi mno, sioni kama ni sawa sawa kutoa "husia" mara kwa mara kuwa vijana/kundi fulani la watu wasishiriki shughuli za siasa kwa kile unachoita "kutumika".
 
Vibaraka wamejaa tele ndani ya CCM
Hellow

Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae

Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama fulani nikiwa chuo na mimi ndio nilikuwa muhamasishaji pale chuo, lakini mwisho wa siku nimejikuta nimepoteza muda wangu pasipo na faida.

Leo hii siwezi sema kuwa nimenufaika na chochote kwenye hicho chama zaidi ya mimi kuumia sana”,

Juzi hapa nimeona vijana wengi wakiwa njiani wanamsubilia Mh fulani hili kumpokea ukiangalia vijana hao hawana ajira mpaka sasa, na zaidi bado maisha yao ni ya kuunga unga licha ya kupewa ahadi nyingi na wanasiasa ambazo hakuna hata moja zinazotekelezwa, leo vijana wapo vijiweni wanajaza ujinga

Vijana wengi wanakosa kuajiliwa hata kupewa mikopo ya biasha kwasababu vyama vyao bado awajajenga imani na vijana wao ambao ndio wanawaita viongozi wa kesho, huku wanasiasa wamejikita kutengeneza njia kwaajil ya watoto wao.

Sikia niwaambieni hao wote mnao waona majukwaani wanapambana kukosoa serikali wanatafuta ugali wao maana wakiacha kupayuka watakula wapi?

Vijana badilikeni acheni kutumika nataman mngekuwa mnanielewa japo uandishi wangu sio mzur
 
Vijana badilikeni acheni kutumika nataman mngekuwa mnanielewa japo uandishi wangu sio mzuri
Hao wazee waliofanikiwa unadhani walikuwa na akili kama zako walipokuwa vijana?

Unavyomuona Paul Makonda alikuwa RC au Jerry Muro unadhani alikuwa anawaza kama wewe? They worked hard.
 
Back
Top Bottom