Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mkishakuwa wengi wote hamuwezi kuwa top mkuuFwatilia historia zao mbowe baba yake alisha mtengenezea njia unalijua hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishakuwa wengi wote hamuwezi kuwa top mkuuFwatilia historia zao mbowe baba yake alisha mtengenezea njia unalijua hilo?
Hoja yako ni nini hapa ya maana??!! vyakula vya wananchi, mke wa lissu au maisha ya Lissu???Uko barabarani tangu saa 1asubuhi hadi saa 6 mchana -( mfano tu). Unamsindikiza lisu huku hujui jioni utakula nini. Akishawahutubia anakwenda kula bata na mke wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hilo V8 limekutoa povu, Mbona hauongelei Yale ma V8 yanayo nunuliwa kwa Kodi za wananchi yanayo kabidhiwa kwa wanakijani ambao wana jiona wenye haki na nchi zaidi kuliko watu wote kule Dodoma??!Na amepanda v8 wewe unasubilia kwenda kugombania gari na bado unapigwa na jua kali uhu ni ulofa af et oh nitakuwa waziri [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kuenda mkutanoni au kumpokea kiongozi maana yake unataka kuajiriwa pale barabarani !! Kinachotafutwa ni hali bora za maisha kwa watanzania wote ! Sasa nani ana sera nzuri ambazo huenda zikaleta Hiyo hali nzuri ya maisha ndio watu wanakwenda kuwasikiliza hao wanasiasa !! Wewe umeumia kwa sababu ulishaamini hiyo kazi ya kuhamasisha ilishakuwa ni ajira yako !! Siasa haiko Hivyo Mkuu !!Hello,
Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae.
Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama fulani nikiwa chuo na mimi ndio nilikuwa muhamasishaji pale chuo, lakini mwisho wa siku nimejikuta nimepoteza muda wangu pasipo na faida.
Leo hii siwezi sema kuwa nimenufaika na chochote kwenye hicho chama zaidi ya mimi kuumia sana. Juzi hapa nimeona vijana wengi wakiwa njiani wanamsubilia Mh fulani hili kumpokea ukiangalia vijana hao hawana ajira mpaka sasa, na zaidi bado maisha yao ni ya kuunga unga licha ya kupewa ahadi nyingi na wanasiasa ambazo hakuna hata moja zinazotekelezwa, leo vijana wapo vijiweni wanajaza ujinga.
Vijana wengi wanakosa kuajiliwa hata kupewa mikopo ya biasha kwasababu vyama vyao bado awajajenga imani na vijana wao ambao ndio wanawaita viongozi wa kesho, huku wanasiasa wamejikita kutengeneza njia kwaajil ya watoto wao.
Sikia niwaambieni hao wote mnao waona majukwaani wanapambana kukosoa serikali wanatafuta ugali wao maana wakiacha kupayuka watakula wapi?
Vijana badilikeni, acheni kutumika. Nataman mngekuwa mnanielewa japo uandishi wangu siyo mzuri.
Sio kuenda mkutanoni au kumpokea kiongozi maana yake unataka kuajiriwa pale barabarani !! Kinachotafutwa ni hali bora za maisha kwa watanzania wote ! Sasa nani ana sera nzuri ambazo huenda zikaleta Hiyo hali nzuri ya maisha ndio watu wanakwenda kuwasikiliza hao wanasiasa !! Wewe umeumia kwa sababu ulishaamini hiyo kazi ya kuhamasisha ilishakuwa ni ajira yako !! Siasa haiko Hivyo Mkuu !!
Huna hoja wewe.
Unataka vijana wote washabikie chama chako?.
Kwahiyo hilo V8 limekutoa povu, Mbona hauongelei Yale ma V8 yanayo nunuliwa kwa Kodi za wananchi yanayo kabidhiwa kwa wanakijani ambao wana jiona wenye haki na nchi zaidi kuliko watu wote kule Dodoma??!
Na sio Kila mtu ana mindset ya greed kama yako chawa wa kijani ya kupata madaraka kuhudhuria hotuba ya vyama vya upinzani, sometimes watu wanafuata benefit ya kuelimika zaidi, kuona wapi Pana uzito kwa ajili ya manufaa mapana ya wananchi na taifa
Hiyo ni process ndefu inahitaji muda mrefu na pesa na pesa pia !Sivyo hivi kuna unajua kuwa kuna sera ya vijana? Vijana wenyewe wanaitambua hiyo sera? Na je hiyo sera inatekelezwa kwa kiasi gani?
Uoni ingekuwa vyema vijana kama vijana wakaungana wote bila kujali chama na kuitetea sera yao iwe active na kufaction?
Hujielewi wewe. Hujui nini maana ya siasa.
Endelea tu kukesha huko "wavuvi camp" wakiku-push na gari alfajiri/asubuhi tutakuja kukujulia hali.
Umeshajijulisha unatetea chama chako !Nachojua magari yananunuliwa kwa ajili ya matumizi ya kiserikali na ndio maana wanapewa wakuu wa wilaya na wa mikoa kuhusu chama cha kijana kununua magari sina uwakika kama wanatumia pesa za serikali kwasababu wana vitega uchumi vingi
Wapinzani wanapewaga ruzukunje zile ruzuku wanazitumiaje washawai sema maana wengine bado office za zipo kwenye nyumba ya mtu hii imekaaje
Hiyo ni process ndefu inahitaji muda mrefu na pesa na pesa pia !
Umeshajijulisha unatetea chama chako !
Watu wanatafuta maisha bora !! Sio bora maisha !Sitetei chama jaribu kuangalia na hali halisi wewe kusoma hujui hata picha huoni?
Watu wanatafuta maisha bora !! Sio bora maisha !
Wewe nani hata utuamulie?
Tuma haki ya kuchagua tunachotaka,
Tuna uwezo wa kupigania tunachokiamini
na tupo tayari kulipa gharama ikibidi.
Imani yako ni yako, wengine tumeamua
kwamba tukiambiwa tuchague CCM na shetani tunachagua shetani maana matendo ya
CCM ni zaidi ya Ibilisi.
Tunapambana kwaaajili ya Tanzania yenye haki, usawa na maendeleo kwa woteWapi nimekuamulia jiangalie hao unao wapambania siku yakitokea maandamano wao watakuwa wakwaza kwenda airport kuondoka kukimbia machafuko
Tunapambana kwaaajili ya Tanzania yenye haki, usawa na maendeleo kwa wote
Sio kikundi cha wachache waliokaa madarakani kwa miaka 60 na kushindwa hata kuwapa wananchi maji ya kunywa
Wanajilipa mishahara na posho lukuki kwa kuwaumiza masikini kwa tozo
Upuuzi huu utakoma iwe kwa amani au vinginevyo.
Acha kutujaza ujinga wewe chawa.Hello,