Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Usidhani vijana wanapenda mkuu, ugumu wa maisha unafanya wawe hivyo saivi ni bora upate mia isiyo na thamani kuliko kukosa kabisa
Kwa akili zako hizo kwahiyo unataka siasa zifanywe na wazee na watoto na siyo vijana?. Akili zingine za kuvukia barabara. Duniani kote siasa zinafanywa na vijana
Sijaona hoja hapa zaidi ya kuwatia watu uoga.
Acha wafanye wanachokifanya, hata hao wazee unaosema wanapambania familia zao walianzia mbali, safari ya mafanikio ina mengi. Kwenye hicho unachokikosoa kwa wengine ni mlango wa kutokea na kwa wengine ni time wastage.
Hao vijana unaowapa nasaha walikuambia wote ni wafuasi wa hao wakinzani?Ukikaa kwa kutulia na kuishabikia CCM weye kama weye kuna shida gani?Mbona una mchecheto sana?
Chawa kwenye ubora wako. hata kwenye kujenga nyumba ni gharama na unakufa kabla hata hujaamia. Kuna bibi kule Moshi alikuwa na wajukuu watatu aliachiwa na mwanae ambae alishatangulia mbele za haki, alikaa na wajukuu wake aliwasomesha kwenye shida akauza kila kitu ili wajuku wake wasome mpaka wakamaliza chuo ila mungu alimpenda zaidi.Hellow
Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae
Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama fulani nikiwa chuo na mimi ndio nilikuwa muhamasishaji pale chuo, lakini mwisho wa siku nimejikuta nimepoteza muda wangu pasipo na faida.
Leo hii siwezi sema kuwa nimenufaika na chochote kwenye hicho chama zaidi ya mimi kuumia sana”,
Juzi hapa nimeona vijana wengi wakiwa njiani wanamsubilia Mh fulani hili kumpokea ukiangalia vijana hao hawana ajira mpaka sasa, na zaidi bado maisha yao ni ya kuunga unga licha ya kupewa ahadi nyingi na wanasiasa ambazo hakuna hata moja zinazotekelezwa, leo vijana wapo vijiweni wanajaza ujinga
Vijana wengi wanakosa kuajiliwa hata kupewa mikopo ya biasha kwasababu vyama vyao bado awajajenga imani na vijana wao ambao ndio wanawaita viongozi wa kesho, huku wanasiasa wamejikita kutengeneza njia kwaajil ya watoto wao.
Sikia niwaambieni hao wote mnao waona majukwaani wanapambana kukosoa serikali wanatafuta ugali wao maana wakiacha kupayuka watakula wapi?
Vijana badilikeni acheni kutumika nataman mngekuwa mnanielewa japo uandishi wangu sio mzuri
Wewe chuoni ulienda kusomaaaa au kufanya siasa? Mwambie huyo kijana kuwa alivuna alichokuwa anakitaka maana wazazi walimpeleka chuo ili akasome na siyo kuwa mwanasiasa kule chuoni.Hellow
Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae
Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama fulani nikiwa chuo na mimi ndio nilikuwa muhamasishaji pale chuo, lakini mwisho wa siku nimejikuta nimepoteza muda wangu pasipo na faida.
Leo hii siwezi sema kuwa nimenufaika na chochote kwenye hicho chama zaidi ya mimi kuumia sana”,
Juzi hapa nimeona vijana wengi wakiwa njiani wanamsubilia Mh fulani hili kumpokea ukiangalia vijana hao hawana ajira mpaka sasa, na zaidi bado maisha yao ni ya kuunga unga licha ya kupewa ahadi nyingi na wanasiasa ambazo hakuna hata moja zinazotekelezwa, leo vijana wapo vijiweni wanajaza ujinga
Vijana wengi wanakosa kuajiliwa hata kupewa mikopo ya biasha kwasababu vyama vyao bado awajajenga imani na vijana wao ambao ndio wanawaita viongozi wa kesho, huku wanasiasa wamejikita kutengeneza njia kwaajil ya watoto wao.
Sikia niwaambieni hao wote mnao waona majukwaani wanapambana kukosoa serikali wanatafuta ugali wao maana wakiacha kupayuka watakula wapi?
Vijana badilikeni acheni kutumika nataman mngekuwa mnanielewa japo uandishi wangu sio mzuri
Uharo mwingine tena huu hapa!Hellow

Pumba tupuHellow

Kwa hiyo wewe chuki yako ni kwa Mbowe siyo! Mbona hutolei mfano wa akina Karume,Nyerere,Kaunda,Kenyatta,Mandela,Mugabe,Nkwameh Nkrumah,Hakainde Hichilema nk ili kuwatia moyo vijana.Fwatilia historia zao mbowe baba yake alisha mtengenezea njia unalijua hilo?
So unadhani kikwete hakumtengenezea riziwan njia? Mwinyi hakumtengenezea Hussein njia? Makamba je? Babake Mbowe alikuibia nini? Hujui mafisadi wote nchi hii ni mambuzi?Fwatilia historia zao mbowe baba yake alisha mtengenezea njia unalijua hilo?