Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

Hivi ni kweli ukiwa UVCCM unapata ma connector fasta🤣na ajira kwako ni simple.?
 
So unadhani kikwete hakumtengenezea riziwan njia? Mwinyi hakumtengenezea Hussein njia? Makamba je? Babake Mbowe alikuibia nini? Hujui mafisadi wote nchi hii ni mambuzi?

Huo ni mfano tu mkuu
 
Kwa hiyo wewe chuki yako ni kwa Mbowe siyo! Mbona hutolei mfano wa akina Karume,Nyerere,Kaunda,Kenyatta,Mandela,Mugabe,Nkwameh Nkrumah,Hakainde Hichilema nk ili kuwatia moyo vijana.

Sina chuki na mbowe hila nime mtolea mfano tu
 

Wewe unaona hao unaosema wanajitoa kwaajili ya wengine ushawai pita kwenye majimbo yao
 
We tahira kwan we inakuuma nn? Wamekuja kukuomba hata maji uko kwako, eti hasa upinzan je wale wanaoitwa chawa hawatumiki au siyo we peleka uccm wako uko.
 
Katika maisha mambo yanaenda namna hii, tunakuwa na matarajio juu ya kitu fulani, matokeo yatokanayo dhidi ya hayo matarajio hulinganishwa/hupimwa na matokeo halisi, ikiwa, matokeo halisi yamefikia/yamevuka yale matarajio ndo hapo tunapojizatiti zaidi katika jambo hilo.

Hivyi hivyo katika siasa, kila mmoja huchagua upande/chama anachoamini kwa namna moja au nyingine kitamwezesha kufikia/kutimiza matarajio yake, kumbuka, matarajio ya hao "vijana" sio tu kuwa sehemu ya uongozi ama katika chama au serikalini.

Kun matarajio ya uwezekano wa kuja na sera nzuri kwa upande anaouamini na kuzalisha ajira zaidi, kupunguza gharama za maisha tunazoshuhudia zikiongezeka kila siku, upatikanaji wa pembejeo kwa gharama nafuu, yapo matarajio mengi mno, sioni kama ni sawa sawa kutoa "husia" mara kwa mara kuwa vijana/kundi fulani la watu wasishiriki shughuli za siasa kwa kile unachoita "kutumika".
 
Vibaraka wamejaa tele ndani ya CCM
 
Hao wazee waliofanikiwa unadhani walikuwa na akili kama zako walipokuwa vijana?

Unavyomuona Paul Makonda alikuwa RC au Jerry Muro unadhani alikuwa anawaza kama wewe? They worked hard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…