Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

Punguza chuki. Unaona wivu vijana kuunga mkono upinzani. Mbona CCM wameanzisha kabisa kikundi Cha machawa wa mama. Tena walizindua rasmi cham chao mbele ya meya wa jiji.
 
Madina ndio wapi?
 
Kuna baadhi wanafwata mikumbo, mimi sina chama na sio mwanasiasa lakini kama nikipata teuzi sawa hila sio mwanachama wa chama chochote

Kama huna chama kimya. Wewe huli kuku lakini wanaokula kuku unawasema. Huna chama lakini kelele nyingi kwa vijana wanaoshabikia vyama. Huna haki hiyo.
 
Uko vizuri,maelezo yanajitosheleza hongera sana.
 
Ulikuwa chuo cha VETA wapi?

....umeweka picha tu, umesahau kuweka namba za simu' incase kuna wilaya imesahaulika.
 
Kama huna chama kimya. Wewe huli kuku lakini wanaokula kuku unawasema. Huna chama lakini kelele nyingi kwa vijana wanaoshabikia vyama. Huna haki hiyo.

Hila nijukumu langu kuwakumbusha wajue thamani yao
 
Punguza chuki. Unaona wivu vijana kuunga mkono upinzani. Mbona CCM wameanzisha kabisa kikundi Cha machawa wa mama. Tena walizindua rasmi cham chao mbele ya meya wa jiji.

Na sitoishia leo kuongea kuhusu vijana ambao wanatumika bila manufaa
 
Hao wazee waliofanikiwa unadhani walikuwa na akili kama zako walipokuwa vijana?

Unavyomuona Paul Makonda alikuwa RC au Jerry Muro unadhani alikuwa anawaza kama wewe? They worked hard.

Shida uchadema umekukaa sana mpaka huwezi kunywa maji vizur
 
Kwa akili zako hizo kwahiyo unataka siasa zifanywe na wazee na watoto na siyo vijana?. Akili zingine za kuvukia barabara. Duniani kote siasa zinafanywa na vijana
Uko barabarani tangu saa 1asubuhi hadi saa 6 mchana -( mfano tu). Unamsindikiza lisu huku hujui jioni utakula nini. Akishawahutubia anakwenda kula bata na mke wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko barabarani tangu saa 1asubuhi hadi saa 6 mchana -( mfano tu). Unamsindikiza lisu huku hujui jioni utakula nini. Akishawahutubia anakwenda kula bata na mke wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na amepanda v8 wewe unasubilia kwenda kugombania gari na bado unapigwa na jua kali uhu ni ulofa af et oh nitakuwa waziri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaninib"U-Chadema" uwe ni kutumika na sio kushiriki katika siasa kwa ujumla bila kujali chama/upande?

Ndicho nilichokuwa nikimaanisha lakini yeye analeta uchadema hapa
 
Uko barabarani tangu saa 1asubuhi hadi saa 6 mchana -( mfano tu). Unamsindikiza lisu huku hujui jioni utakula nini. Akishawahutubia anakwenda kula bata na mke wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, hujui tu ni namna gani hao hubeba tumaini la hatma yao kupitia huyo/upande huo?

Unafikiri ni kwanini yule Meya aliziundua wa jiji alizindua ile kitu, "Chawa wa mzazi?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…