Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

Uko barabarani tangu saa 1asubuhi hadi saa 6 mchana -( mfano tu). Unamsindikiza lisu huku hujui jioni utakula nini. Akishawahutubia anakwenda kula bata na mke wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako ni nini hapa ya maana??!! vyakula vya wananchi, mke wa lissu au maisha ya Lissu???

Cha maana hapo ni labda kuhusu wananchi hawajui watakula nini jioni, ambayo yote husababishwa na katiba mbovu iliopo ya CCM, inayopelekea kupanda bei ya vyakula hovyo.
 
Na amepanda v8 wewe unasubilia kwenda kugombania gari na bado unapigwa na jua kali uhu ni ulofa af et oh nitakuwa waziri [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hilo V8 limekutoa povu, Mbona hauongelei Yale ma V8 yanayo nunuliwa kwa Kodi za wananchi yanayo kabidhiwa kwa wanakijani ambao wana jiona wenye haki na nchi zaidi kuliko watu wote kule Dodoma??!

Na sio Kila mtu ana mindset ya greed kama yako chawa wa kijani ya kupata madaraka kuhudhuria hotuba ya vyama vya upinzani, sometimes watu wanafuata benefit ya kuelimika zaidi, kuona wapi Pana uzito kwa ajili ya manufaa mapana ya wananchi na taifa
 
Sio kuenda mkutanoni au kumpokea kiongozi maana yake unataka kuajiriwa pale barabarani !! Kinachotafutwa ni hali bora za maisha kwa watanzania wote ! Sasa nani ana sera nzuri ambazo huenda zikaleta Hiyo hali nzuri ya maisha ndio watu wanakwenda kuwasikiliza hao wanasiasa !! Wewe umeumia kwa sababu ulishaamini hiyo kazi ya kuhamasisha ilishakuwa ni ajira yako !! Siasa haiko Hivyo Mkuu !!
 

Sivyo hivi kuna unajua kuwa kuna sera ya vijana? Vijana wenyewe wanaitambua hiyo sera? Na je hiyo sera inatekelezwa kwa kiasi gani?

Uoni ingekuwa vyema vijana kama vijana wakaungana wote bila kujali chama na kuitetea sera yao iwe active na kufaction?
 

Nachojua magari yananunuliwa kwa ajili ya matumizi ya kiserikali na ndio maana wanapewa wakuu wa wilaya na wa mikoa kuhusu chama cha kijana kununua magari sina uwakika kama wanatumia pesa za serikali kwasababu wana vitega uchumi vingi

Wapinzani wanapewaga ruzukunje zile ruzuku wanazitumiaje washawai sema maana wengine bado office za zipo kwenye nyumba ya mtu hii imekaaje
 
Hiyo ni process ndefu inahitaji muda mrefu na pesa na pesa pia !
 
Hujielewi wewe. Hujui nini maana ya siasa.

Endelea tu kukesha huko "wavuvi camp" wakiku-push na gari alfajiri/asubuhi tutakuja kukujulia hali.

[emoji23][emoji23][emoji23] fala sana wewe

Mimi hapa nachotaka vijana watambue kuwa wana thaman sana katika taifa hili ni wakati wa vijana kutambua majukumu yao na kujua nini wanapaswa kufanya na kama wataingia kwenye siasa basi wawe wanufaika na sio kubuluzwa kama ngamia
 
Umeshajijulisha unatetea chama chako !
 
Hiyo ni process ndefu inahitaji muda mrefu na pesa na pesa pia !

Lakini kama vijana wakiunga na akatokea kijana ambaye kweli ana nia thabiti sio mchakato mrefu isokuwa vijana wengi sasaiv hawana ujasiri na niwaoga
 
Wewe nani hata utuamulie?
Tuma haki ya kuchagua tunachotaka,
Tuna uwezo wa kupigania tunachokiamini
na tupo tayari kulipa gharama ikibidi.

Imani yako ni yako, wengine tumeamua
kwamba tukiambiwa tuchague CCM na shetani tunachagua shetani maana matendo ya
CCM ni zaidi ya Ibilisi.
 
Watu wanatafuta maisha bora !! Sio bora maisha !

Haya hayo maisha ambayo wanayo yatafuta ndio vijana wanaishia kutumwa kupeleka madawa njee na wengine kuleta hapa sindio unamaanisha?

Kuna njia nyingi mzuri sana za kutumia kumbuka hakuna ata siku mmoja serikali itakuja kukupa hela ya kula wenyewe wanapamba hili kufanya mzunguko wa pesa usiwe mgumu

Lakini kijana huyo huyo ndio yeye yupo kwenye makundi ambayo hayafain kisingizio hana ajira
 

Wapi nimekuamulia jiangalie hao unao wapambania siku yakitokea maandamano wao watakuwa wakwaza kwenda airport kuondoka kukimbia machafuko
 
Wapi nimekuamulia jiangalie hao unao wapambania siku yakitokea maandamano wao watakuwa wakwaza kwenda airport kuondoka kukimbia machafuko
Tunapambana kwaaajili ya Tanzania yenye haki, usawa na maendeleo kwa wote

Sio kikundi cha wachache waliokaa madarakani kwa miaka 60 na kushindwa hata kuwapa wananchi maji ya kunywa
Wanajilipa mishahara na posho lukuki kwa kuwaumiza masikini kwa tozo
Upuuzi huu utakoma iwe kwa amani au vinginevyo.
 

Wew hunywi maji?
 
Acha kutujaza ujinga wewe chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…