Kwani TAL mmempa dola akashindwa kuyafanya hayo? Kwa hii mitano tumpatie halafu tufanye hesabu 2025! Hatutajuta na itakuwa mwanzo wa Tanzania ya Watanganyika na sio WADANGANYIKA!Ikiwemo mm, lazma nimpe kura yangu JPM maana amefanya vitu ambavyo vinaonekana (tangible) na ana hubiri maendeleo zaidi siyo kama lissu ambae kila siku ana hubiri uhuru,haki na usawa kitu ambacho kina mipaka yake la lissu anataka kutudanganya kwamba hakina mipaka
Huoni huyu kula kulala au anaishi kwa kutegemea boom,Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
View attachment 1600640
True kumwamini ni sawa na kumkopesha tena unaemdaiwanaomwamini ni wale ambao hawana qualification
Huyu mzee ameumiza watu snTrue kumwamini ni sawa na kumkopesha tena unaemdai
Sadist, furaha yake ni kuona machozi ya watu,Mungu ukosea kuleta watu duniani waliotakiwa kubakia kuzimu kumsaidia ibilisi kazi amewaleta duniani,hapa Mungu katuonea kwa kweliHuyu mzee ameumiza watu sn
Jitu katili kuliko wanyama na hayawaniSadist, furaha yake ni kuona machozi ya watu,Mungu ukosea kuleta watu duniani waliotakiwa kubakia kuzimu kumsaidia ibilisi kazi amewaleta duniani,hapa Mungu katuonea kwa kweli
Uganga tu huuAisee
Yaani kaongea mmoja, unasema vijana wote! Huyo kijana yupo sawa sawa kweli?Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
View attachment 1600640
Kijana akisaka uteuziHii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
View attachment 1600640
Ulikuwa unalipia shilingi ngapi ya uanachama kwa mwaka ulipokuwa mwanachama wa Chadema?Mimi kwa Sasa Sina Chama Na nimewah Kuwa Mwanachama wa Chadema, Na kadi Ninayo Lakini Namuunga Mkono rais MAGUFULI
Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
View attachment 1600640
Kichaa unatuwekea sisi ili iwajeUbongo wako umesinyaa, usimletee chp politics kila mtu
Hizi ni clip zenye Propaganda toka CCMLumumba.Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani
View attachment 1600640
Ivi mkuu samahani swali nje ya mada ivi mmiliki wa jamii forums anao uwezo wa kujua au anajua email ya kila member et?Vijana wasiojielewa wa Uvccm kama wewe bila shaka ndiyo uliomaanisha! Ila siyo wale wahitimu wa vyuo waliokosa ajira na wakati huo huo wakiendelea kulimbikiziwa riba kandamizi ya 6% kila mwaka na Bodi ya Mikopo.
Niliangalia ngojera za TBC saa mbili, nikaona Raisi wetu, mbona huyu mzee kazeeka ghafra, vipi, nyie mnae muona laivu kazeeka hivo au ndo picha za TBC mbovu yaani anavo onekana JK anakua kama kijana wake wakuzaa