Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

hII POST UNAYOCHANGIA UMEISOMA AU WEWE UNAINGIA MITANDAONI KUJIBU TUUU BILA KUELEWA UNAJIBU NINI?, Unamaana hiyo video clip kwenye main post ni ya babu yako?, wewe siyo kijana, waache vijana wakweli wawanyooshe come 28th
 
Heri mzee mwenye akili ya kitoto kuliko kijana mwenye akili ya kizee.

Naona hao vijana wana ulemavu wa akili, usoni wana onekana kama watoto wadogo lakini akili zao zimeganda
Na lile jiwe kuu la pembeni.................. na yeyote atakayejikwaa kwalo...........
 
Huoni huyu kula kulala au anaishi kwa kutegemea boom,
Unajuaje kuwa huhu si employer anayelipa kodi inayowapa employer wako ruzuku na wewe kurushiwa data ya kuja kutukana kila mtu humu?. jifunze kuelewa na kuheshimu wakubwa pia
 
Uchaguzi huu utaandika Historia mpya kabisa. JPM atashinda kwa ushindi wa kishindo ambao haujawahi kutokea kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Labda ulimaanisha vijana wa gwa'jima jombi? Kumbe hilo jina lina intonation zake katika matamshi. Tumekusikia mzee baba.
kwahiyo unasema kuwa huyo siyo kijana?, hawa wenye intonation hiyo hawafai kuwa vijana?
 
Hivi ndivyo mmekuwa brainwashed toka huku mkuwaacha viongozi wakifaidi ruzuku, endelea na level hiyohiyo ya kutoelewa
 
wanaomwamini ni wale ambao hawana qualification
Chondechonde nenda kawanyang'anye ubongo wako kaba ya tar 28, la utabaki na kopo tupu
 
Kwani TAL mmempa dola akashindwa kuyafanya hayo? Kwa hii mitano tumpatie halafu tufanye hesabu 2025! Hatutajuta na itakuwa mwanzo wa Tanzania ya Watanganyika na sio WADANGANYIKA!
changamoto ni kuwa chama anachokinadi hakija onesha taswira njema katika maeneo ya utawala bora, matumizi ya fedha na nidhamu au heshma kwa utu.They dont deserve a single trial
 
Nafikiri Kanywe chai ulale ndugu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…