Vijana changamoto mtaji

Wacheki ndugu zako
 
Jiunge kwenye vikundi mkakope Halmashauri utapata mtaji huko.
Tengenezeni katiba nzuri na muwe na malengo.
 
Tatizo ni wewe siyo mtaji.
 
Kama tayari una biashara na ina mzunguko wa kueleweka unaweza kupata mkopo kwenye Bank na kufanya marejesho yako kulingana na mzunguko wako mkuu.
Benki gani wanakopesha mtaji kwa kusikia maneno ya kuambiwa?

Vijana mitaji hatuna na benki zinataka collateral na sio viwanja vya madimbwini ni vilivyopimwa na hati.

Wadau tajeni benki tupeleke proposals
 
Nop mimi biashara nishaianza mkuu, from the scratch na nishaweka mtaji si chini ya m5 till now, ila kwa hapa naona bila kupata mtaji wa maana nitaendelea kustruggle
Imekuchukia muda gani kufikisha milioni 5. Kwa nini usivumilie ukuze mtaji taratibu? Una haraka gani? Biashara nzuri ni ile inayo jikuza yenywewe kidogo kidogo
 
Imekuchukia muda gani kufikisha milioni 5. Kwa nini usivumilie ukuze mtaji taratibu? Una haraka gani? Biashara nzuri ni ile inayo jikuza yenywewe kidogo kidogo
Within a year, let me see mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…