Usiitumie mkuu,pombe si nzuri kwetu ila kwa wengine ni nzuriMkuu m nimeona madhara yake kwenye ukoo wetu yaan nikinywa bar nalipa idadi yangu. Nakaa mbali na counter..ukoowetu ukigusa moja tumboni kama tbl imewashwa hukondan agiza nikuagize loh imeua wengi sana
Mi situmii pombe lakini simzuii mwingine kutumia eti kwa sababu nilijaribu sikuona faida yake...hapana,kilamtu ana addiction yakeMaadamu mtu ajiumize mwenyewe tu au sio🤣🤣
Kabisaa mkuu hapa niko mfungo wa novena niache kabisaa lohUsiitumie mkuu,pombe si nzuri kwetu ila kwa wengine ni nzuri
😂😂😂🤭 Pole sana mkuuKabisaa mkuu hapa niko mfungo wa novena niache kabisaa loh
Yaan ukoo wetu hata hauna hela ukipita karibu na bar tu unasikiaaaqq kyakooo njoo ukifika mpe bia 4 aisee sijui ngoja nipambane na haya maagano
🤭 Hapana,usikariri mkuuKama hutumii pombe
Kilevi chako
Naniiii yaan hii hukwepiii mpwaa
Cha ukoo hicho mzee.Kabisaa mkuu hapa niko mfungo wa novena niache kabisaa loh
Yaan ukoo wetu hata hauna hela ukipita karibu na bar tu unasikiaaaqq kyakooo njoo ukifika mpe bia 4 aisee sijui ngoja nipambane na haya maagano
Hata kama hakuna atakayebaki ndo ufakamie pombe za buku mbili ambazo hazina viwango? Nadhani ni ushauri mzuri vijana wajitunze, hivi vifo vya kuharakisha sio kabisa.Mi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine
😀😀😀 ngoja uingie hospital utatamani ata lisaa la kua mzima wa afyaNa kwanini uende mbinguni/jehanamu na figo nzima
Pombe za Sasa hivi hasa hizi jamii ya spirits zinaua viungo nya ndani na kuleta aina funani ya ukichaa. Kwa Yale makabila ambayo Yana asili ya pombe kama Kilimanjaro, mbeya, Sumbawanga ,Arusha na Kagera kwa Sasa ni majanga. Hakuna tena tofauti ya kijana Wala mzee wameharibika. Walianza kwenye mataputapu Wana advance wakifika kwenye spirit Keisha habari Yao. Hospitali kubwa idara za dialysis zimejaa ijapokuwa ni matababu ya garama kubwa na ya kikatili ni ishara Kuna tatizo kwenye jamii. Umlaani mtu yule aliyekufundisha kunywa pombe na kama ni kadiri acha gafla kwanzia Sasa utapona matatizo yako, mambo ya kijamii yaliyosimama yataanza na utampata marafiki wema na Sasa utaanza kuaminiwa vitu vya maana. Ile kauli ya huyu anaakili ila mlevi itaishaNUSU SAA ILIYOPITA TUMEMPOTEZA MA BR RICHARD NDUGU WA KARIBU KABISA
WAKATI NAMSHAURI MIAKA HIO MJOMBA PUNGUZA MAMBO YETU YANAUA ILIKUWA N NGUMU SANA SANA KUELEWA
BAADA YA MIAKA KADHAA NDUGU ALIANZA KUUMWA BAADAE WAKAKUTA FIGOO INASHIDAA
ILIPOFIKIA HAIKUWA HABARI NJEMA KWA FAMILIA
HATIMAE KAKA AMEENDA AMELALA MCHANA HUU
USHAURI
ATUKATAI KUNYWA .KUNYWENI KWA FURAHA SIO KULEWA MPAKA UPATE MAGONJWA
PUMZIKA KWA AMANI BR
RAHA YA MILELE AKUPEE EE BWANA
MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE
UPUMZIKE KWA AMANII
AMEN N AMEEN
Naomba mikuchukum shangaziUkinywa apple punch ndo haufi? Acha basi, pombe inasingiziwa tu.