Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

Hahaha ccm chairperson is PURICHINGI,but we are not REACHABLE.
In M7 voice.

Eti nileteeeeni Gwaji... nileteeeeeeni Gwajim..... nileteeeeeeeeeni Gwajima!?

Mwacheni alie, Kura kwa Tundu Lisu na CHADEMA.
 
Rais Magufuli ameedelea na juhudi za kuifanya Tanzania kuwa nchi inayojitegemea kiuchumi, na amekwishaonyesha kwa vitendo namna kaulimbiu yake ya “Hapa Kazi Tu” ilivyowapa hamasa kubwa Watanzania kufanya kazi na hivyo juhudi hizi kuzaa matunda ya kuipaisha Tanzania katika uchumi wa kati. Kweli vijana hatuna la kupoteza. KURA YANGU KWA MAGUFULI
 

Yani mimi kama kijana naisubiri sana hiyo tarehe 28 october tukawaonyeshe watanzania jinsi magufuli tunavyompenda vijana ...Yani kura zote kwa Dk John Magufuli....huyu mzee jamani katufanyia maendeleo mengi anaebisha kuna nati za kichwa zimechomoka
 
Vijana tuna jambo moja tu tarehe 28/10/2020 Ni kupiga kura ya NDIO kwa ndugu Magufuli.
 
Na mimi nasema siwezi nikafanya ajizi kwa kweli, KURA YANGU NI YA MAGUFULI
 
Kura zote kwa Tundu Lisu.

Magufuli mpelekeni kwa Gwajima.

Kalia sana " Nileteeeeni Gwajima, nileteeeeeeeni Gwajima, nileteeeeeeeeeni Gwajima "

Kuliko kumpelekea Gwajima yeye ndiye tutampeleka kwa Gwajima.
 
Yani mimi kama kijana naisubiri sana hiyo tarehe 28 october tukawaonyeshe watanzania jinsi magufuli tunavyompenda vijana ...Yani kura zote kwa Dk John Magufuli....huyu mzee jamani katufanyia maendeleo mengi anaebisha kuna nati za kichwa zimechomoka
NImefurahi sana kweli mpaka.WEWe mdada mzuri umeweza kuliona kua upande wenye kujali maisha yetu watanzania ni CCM chini ya Magufuli.


Hakika hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…