Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

shida wanafikiri tupo zama vita baridi na propaganda labda kilichobakia ni kuiba kura nothing more nothing less
 
Unaongelea hawa vijana wa waTZ ama UVCCM, unachekesha sana
 
Utakuwa mgeni sana - tafuta zingine Msakila Kabende, Mkafrend utagundua kwamba kabla hujamaliza sekondari nilikuwa humu

Aidha, wote hatutakuwa na fikra zinazofanana kwenye issue kama za uchaguzi

Kama una hizo I'd zote, hii ni ya nini?
 
Wewe wa mwezi january vipi wewe ndo unaimiliki Tanzania au unaimiliki JF? Tupashe habari hapa.

Kwahiyo umejiunga mwezi uliopita ili uje utapike makande yaliyochacha huku jukwaani?
 
Kama unaakili ya kukaa usibiri ajira ya kuletewa kwenu,basi kaa uzekee hapo ulipo.
serikali ina wajibu wa kutengeneza mazingira bora ya vijana kujiajiri na kuajiriwa,, Halijafanyika ilo... ni porojo tuu unaongea kwa sababu wewe ushaajiriwa hujui maumivu familia zetu wanapata
 
Vijana tuliokosa ajira toka 2015 nasi tuna jambo letu 28 october
Wafanyabiashara wakubwa tuna jambo letu Jumatano ya tarehe 28, mwezi wa 10, mwaka huu wa 2020.
Tumebambikiwa kodi na kesi za kutosha. Nilikuwa nina kaya 762 zinazotegemea uwekezaji wangu,leo hii zimebaki 381.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nn CDM hamkuwaajiri?
Inaonekana ulipata sifuri shule ya kata. CDM inakusanya kodi? Mtu akombe pesa za NSSF kununulia ndege kwa cash, ajenge uwanja wa ndege kijijini kwake, halafu unataka CDM iajiri vijana kwa pesa ipi? Kilangila.
 
umejitahidi kuelezea kwa urefu lakini ni sawa shati chafu unapulizia perfum!
 
Haishtui vijana wa baa za vichaa yani Bavicha, sera zenu na mgombea wenu ni matusi tu. Dawa yenu ni moja tu kura ya ndio kwa Magufuli.
Hakuna kura ya ndiyo kwa mgombea yeyote. Iliondolewa mwaka 1992. Jielimishe hilo ili upige kura kwa unayemtaka
 
Huu ni uchafu kama uchafu mwingine.
 
Vya kufokeana na kupangiwa wa kuchagua
Sisi waTanzania hatuviwezi kakweli, vyaivyo vya nini Sasa vya kufokeana.

Najaribu tu kukumbuka kwa sauti ya kule Kagera.

Ila atakae mpigia kura Yule jamaa mnyenyekevu wa kwenye mabango akapimwe anaweza kua na tatizo la usugu wa matatizo.

#Niyeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…