Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Ni kweli wanapinga kutengeneza familia sababu ya umasikini japo hawajiweki wazi.
Nawaunga mkono wasijaribu kuoa wakiwa hawajajipata! Najua watakuja hapa kutoa mifano ya matajiri wa dunia ambao hawajaoa ila sio kigezo cha kuchafua ndoa.
Ewe mwanaume elewa kabisa kuoa ni kujitangazia wewe na jamii yako kwamba unaweza kujitunza,, kumtunza mkeo, watoto wako pamoja na wazazi wa pande zote pale inapohitajika.
Hivyo kama maisha yako tu yanakusumbua kwanini uoe?