Vijana hawataki kuoa kwa sababu wana njaa!

Ulichokiandika ni moja ya sababu ya kwanini baadhi ya vijana hawaoi na njaa iyo sio ya tumboni tu ni njaa ya katika kila nyanja kwa kifupi tuseme ni ukata.

Mimi pia ni kataa ndoa lakini sio kwa sababu ulioitaja wewe. Kwa sababu uliyoitaja mimi binafsi nawaunga mkono hao vijana wanaokataa ndoa. Kama maisha yako bado yanakuelemea kwanini ujiongezee majukumu?

Pamoja na sababu tajwa bado kuna sababu zingine nyingi sana ambazo zinazofanya movement ya kataa ndoa iongeze wafuasi kila siku. Nitazitaja baadhi.

1. Kushuka kwa thamani ya uchi wa mwanamke, kitu kilichopelekea upatikanaji wake uwe rahisi sana hata ukiwa bachelor

2. Loopholes za kisheria ambazo ni risk sana kwa mwanaume kuoa

3. Toxic ideologies mfano feminism, 50/50 n.k
 
Hili jiwe likapige utosi wa KATAA NDOA wote wa JF...

Njaa tu zinawasumbua
 
4. Kuendelea kutoka na maex au wanaume wengine ili hali yupo kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom