Ni midogo kwako wewe.Mkuu mimi hiyo milo mitatu mbona ni midogo?.
halafu milo 3 nani ali weka ndo mzani wa lishe bora?.
Sawa, wewe ni Mkristo?Kwahiyo sababu yako kuu ya kuoa ni Sex drive au sio??? Kwa akili hiyo huna credibility ya kuwashauri vijana waoe..
Kichwa ulichotumia kuingia kwenye ndoa ni kile kisichokua na Ubongo.
Ko who ndo mzani wako wa jinsi ya kujua lishe bora ni ipi??Ni midogo kwako wewe.
WHO(World Health Organization).
Si wangu tu, hata wako.Ko who ndo mzani wako wa jinsi ya kujua lishe bora ni ipi??
Si wangu tu, hata wako.
Kulea watoto tu inatosha ila sio kutunza mpak makaburi ya kwao nijenge mimiNi kweli wanapinga kutengeneza familia sababu ya umasikini japo hawajiweki wazi.
Nawaunga mkono wasijaribu kuoa wakiwa hawajajipata! Najua watakuja hapa kutoa mifano ya matajiri wa dunia ambao hawajaoa ila sio kigezo cha kuchafua ndoa.
Ewe mwanaume elewa kabisa kuoa ni kujitangazia wewe na jamii yako kwamba unaweza kujitunza,, kumtunza mkeo, watoto wako pamoja na wazazi wa pande zote pale inapohitajika.
Hivyo kama maisha yako tu yanakusumbua kwanini uoe?
YesNjaa ipo kwako tu mkuu watu wana fact kwanini ujitafutie magonjwa ya moyo? Ushawai sikia mwanamke anaumwa ugonjwa wa moyo?
Yupi
Kusema hivi ni rahisi ila ukija kwenye uhalisia huwezi kuwapigia simu huko ukweni tu kusalimia au kutoa pole tu usihusike kwa matatizo yanayoweza kutokea wakati wowote.Kulea watoto tu inatosha ila sio kutunza mpak makaburi ya kwao nijenge mimi
Wewe Kama katibu nakupa jukumu la kuzi tunga na kuandaa.Mwenyekiti Intelligent businessman inabidi tuweka sheria na mikakati yetu kama majobless kwa uwazi zaidi
Kabisa mimi napenda pesa yangu bhna af mm napend bata sana so nitachelewa sana mpka nimalize viwanja vyote tzKusema hivi ni rahisi ila ukija kwenye uhalisia huwezi kuwapigia simu huko ukweni tu kusalimia au kutoa pole tu usihusike kwa matatizo yanayoweza kutokea wakati wowote.
Mambo kama haya vijana wengi hawayamudu.
Anaweza kuja mdogo wa mke wako mkoa ulipo akajifanya alikokua anaenda hakueleweki, hapo hujampokea kwa gharama zako kwa siku kadhaa huku ukimpa na nauli ya kurejea makwao? Vitu kama hivi ukiwa huwezi au haupo tayari navyo bora usioe.
Au unasemaje mzee mwenzangu Leejay49
Vizuri sana heri lawama kuliko fedheha... Watakulaumu kwanini hujaoa, alafu ukishaoa wanasikilizia mlio ili wakucheke ufedheheke.Kabisa mimi napenda pesa yangu bhna af mm napend bata sana so nitachelewa sana mpka nimalize viwanja vyote tz
KasheheVizuri sana heri lawama kuliko fedheha... Watakulaumu kwanini hujaoa, alafu ukishaoa wanasikilizia mlio ili wakucheke ufedheheke.
Vijana wasipoelewa hili basi Mungu awasaidie waweze kumudu mambo ya msingi kwenye familia