Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

Sijawahi kuona umuhimu wa kuoa au kuolewa. Huu ni utamaduni wa kipuuzi sijui nani aliuanzisha na alifikiria nini ?!.
Umuhimu hujauona ww tu kutokana na mtazamo wa iman yko ulojiekea ila sisi wengne tupo tunastarehe na wenziwetu raha mustarehe
 
Umuhimu hujauona ww tu kutokana na mtazamo wa iman yko ulojiekea ila sisi wengne tupo tunastarehe na wenziwetu raha mustarehe
Dogo unawashwa ? Hapo kwenye comment yangu nimekutaja wewe au nimeji zungumzia binafsi mimi ?!.
 
Kwema Mkuu.
Tatizo lako kuu Faiza linalokupunguzia Sifa njema ni udini.
Kanisa lina sababu zake nyingi za kufanya hivyo, mojawapo ni Hiyari ya MTU kuamua kuoa au kutokuoa. Kuoa ni hiyari sio lazima.

Ipo mifano ya Manabii wakubwa na wenye heshima ambao hawakuwa wameoa. Na zipo sababu za wao kufanya hivyo.

Kanisa linaongozwa na Kanuni ya upendo hasa kwenye Mambo yasiyo kuwa ni amri na sheria. Mfano kwenye Ukristo au uyahudi hakuna amri ya lazima ya MTU kuoa au kuolewa Ila Ipo amri ya kukataza zinaa(uzinzi).

Tukisema tuchambua mambo kidini basi Huko tutavurugana
basi khatwar
 
Dogo unawashwa ? Hapo kwenye comment yangu nimekutaja wewe au nimeji zungumzia binafsi mimi ?!.
Acha ushamba ,wew si ndo ulisema hukuwahi kuona umuhimu wa kuoa au kuolewa asa ayo maoni ni ya nani kama si yko ,na mm sio dogo ilo rika letu la mliozaliwa 90 msijifany mmepevuka
 
Uandishi gani huu wa kijinga hivi. Una kazi gani kijana upate muda wa kupoteza kuandika Uzi mrefu ambao unaweza kuwa summarized in one paragraph?
 
Stori ndefu, ukweli ni kuwa sikusosoma, kwa sababu inajulikana kwa sentensi moja tu kwanini vijana hawataki kuoa na kuolewa.

Sababu ni ushoga na usagaji tu. Hakuna zaidi.

Lile kanisa maarufu linaloendeshwa na watu wasioowa wala kuolewa linafanya kazi nzuri sana ya kutengenza wimbi la vijjana wa aina yao.
Zanzibar mashoga wamejaa ni kanisa lipi limesababisha ?
 
Acha ushamba ,wew si ndo ulisema hukuwahi kuona umuhimu wa kuoa au kuolewa asa ayo maoni ni ya nani kama si yko ,na mm sio dogo ilo rika letu la mliozaliwa 90 msijifany mmepevuka
Huu uandishi wako ata mimi ningekuita dogo,hakuna mtu mzima anaeandika kiboya kama wewe ivi
 
Back
Top Bottom