Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

Nimeishia hapo kwenye demand and supply ya papuchi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Acha ushamba ,wew si ndo ulisema hukuwahi kuona umuhimu wa kuoa au kuolewa asa ayo maoni ni ya nani kama si yko ,na mm sio dogo ilo rika letu la mliozaliwa 90 msijifany mmepevuka
Sasa maoni yangu wewe yana kuwasha nini ?
 
Lakini cha kushangaza hao Watu wamejaa kwenye maeneo ambayo maustadhi wapo wengi/( Watu wa dini yenu )kama huko pwani na visiwani.
 
Lakini cha kushangaza hao Watu wamejaa kwenye maeneo ambayo maustadhi wapo wengi/( Watu wa dini yenu )kama huko pwani na visiwani.
Hizo ni fikra zako za kujiliwaza, mimi naweka ushahidi na wewe weka ushahidi tuone wako wapi:

Mapadre wanne kati ya watano wa Vatican ni mashoga, madai ya kitabu​

Makala hii ni zaidi ya miaka 4
Kitabu cha mwandishi wa habari wa Ufaransa ni 'akaunti ya mwanzo ya ufisadi na unafiki', mchapishaji anasema...

Chanzo na endelea kusoma: Four in five Vatican priests are gay, book claims

Hiyo maana yake mapadri wa kanisa katoliki 80% ni mashoga.
 
Unaonekana Kama haupo sawa ghorofani maana Mtu makini sijui Kama anaweza kukosoa imani za watu .

Inshort hakuna dini Bora kuzidi nyingine mnalishana upepo
 
Unaonekana Kama haupo sawa ghorofani maana Mtu makini sijui Kama anaweza kukosoa imani za watu .

Inshort hakuna dini Bora kuzidi nyingine mnalishana upepo
Hayo sikuyaandika mimi, ni mkristo mwenzenu, mimi nimewaonesha ukweli ulivyo.

Sasa unachokipinga nini, huutaki ukweli?
 
Hayo sikuyaandika mimi, ni mkristo mwenzenu, mimi nimewaonesha ukweli ulivyo.

Sasa unachokipinga nini, huutaki ukweli?
Mimi sio mkristo ila hizi hoja zako mambo ya dini ni utoto unakusumbua kwa umri wako Unabidi kuwa na Maarifa ,hekima na Busara maana wewe hapa JF ni mtu mzima Sana.
 
Mimi sio mkristo ila hizi hoja zako mambo ya dini ni utoto unakusumbua kwa umri wako Unabidi kuwa na Maarifa ,hekima na Busara maana wewe hapa JF ni mtu mzima Sana.
Siyo hoja yangu hiyo. Umeibofya ukaisoma? Hukuona chanzo?

Au na wewe ni shoga? Nikufahamishe mara ngapi ili uelewe kuwa hiyo siyo hoja yangu?
 
Siyo hoja yangu hiyo. Umeibofya ukaisoma? Hukuona chanzo?

Au na wewe ni shoga? Nikufahamishe mara ngapi ili uelewe kuwa hiyo siyo hoja yangu?
Wewe Wenzako Muda huu 05:11 wapo wanaswali wewe upo unaandika matusi hapa JF unazeeka vibaya Sana .
 
Matusi naandika mimi au mleta mada?
hakikisha umri wako na unachokiandika vinaenda sawa wewe ni mtu mwenye umri mkubwa haipendezi kukaa mitandaoni kuandika matusi unajidharilisha Sana sema ndo hivyo haujui Kama hauna hekima ni kazi bure yaani.
 
Wewe sikiliza kijana, umri wangu unaujuwa?

Usilete mambo ya kijinga hapa, kama unashindwa kusoma post zangu zipite tu.
 
Wewe sikiliza kijana, umri wangu unaujuwa?

Usilete mambo ya kijinga hapa, kama unashindwa kusoma post zangu zipite tu.
Mtu ambaye ulikuepo tangu enzi za utawala wa Nyerere probably huwezi kuwa na umri wa vijana . So unajiachia Sana punguza kubali kuwa umri umesonga. So tafuta Sana hekima na Maarifa
 
Mtu ambaye ulikuepo tangu enzi za utawala wa Nyerere probably huwezi kuwa na umri wa vijana . So unajiachia Sana punguza kubali kuwa umri umesonga. So tafuta Sana hekima na Maarifa
Wewe fata yako, umri wangu unakuhusu nini? Papai nini?
 
Maelezo marefu! Ila chakushangaza tangu january mpaka leo nimehudhuria harusi takribani kumi,na zipo zingine5 mpaka december ,na unaambiwa miaka hii mi3 ya karibuni ndio miaka watu wanaoa sana!

Ila nikija jf nakutana na kashfa za hapa na pale kuashiria watu hawataki kuoa! Nikija mtaani ndoa za kutosha tena kati ya hizo kumi ,7 za ma single mother.
 
Ndoa ni kwa ajili ya alpha male tuu siyo nyie veta males na tabia zenu za kike kike.

Mwanamke akiolewa na mwanamme kamili huwa hafurukuti na anatulia tulii. Akiolewa na beta male atamburuza mpaka akome kuzaliwa.

Mwanamme kamili unakataaje kuoa. Lazima utakuwa na matatizo.
 
Usifananishe Moja na elfu moja
 
That's why nakuambia hauna hekima ! Unamtukana nani Sasa!?
Hujatukanwa unaona umetukanwa.

Umri wa mtu mwengine wewe unakusaidia nini katika mambo yako hapa JF? Wewe ukiona maoni yake yamekuingia yachukuwe, umeona hayajakuingia achana nae. Umri wangu au wa mwengine yeyote unakusaidia nini?

Mbona unakuwa papai namna hii wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…