mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Ndio maana ili uwe mwanaume halisi,vinginevyo we utahesabika kama una jinsia ya kiume tu na utakuwa kijana tu kama akina OMARY.HANS NA HATA ROZI AU AMINAKuoa ama kuolewa sio lazima " kila mtu ni vyema aishi maisha yanayomtosheleza hapa Duniani..
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu hapa sizungumzii tu ndoa za vyeti,hata kama mmeridhiana mkaamua kukaa kinyumba na mkaanzisha familia kwangu mimi naitambua kama ndoa.Sababu wote mtayapitia matamu na machungu ya uwepo wenu pamojaVyeti vya ndoa vina toka mwanzoni,vingekuwa vina toka mwishoni hata wewe ungekuwa huna.
Ndoa ni akili na utashi wako.
Na Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Tuwasaidie vijana waoe mkuuCheo gani hicho? Au usimamizi wa ndoa?!
Hili nawaambia mara nyingi mkuu. Kuoa au kuolewa sio lazima. Isitoshe kuoa kwa siku hizi ni kama fashion tu sio kwamba watu wamekuwa wamependana,na ndio maana ndoa hazidumu. Kwanza kuoa ni kujitafutia kifo cha mapema kwa streesKuoa ama kuolewa sio lazima " kila mtu ni vyema aishi maisha yanayomtosheleza hapa Duniani..
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Huu ni uzushi wa kiwango cha juu sana,acheni vijana wajipange ndo waingie ndoani ikiwa inawapasa kwani sio lazimaNa Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Ndio maana ili uwe mwanaume halisi
You nailed it...Hili nawaambia mara nyingi mkuu. Kuoa au kuolewa sio lazima. Isitoshe kuoa kwa siku hizi ni kama fashion tu sio kwamba watu wamekuwa wamependana,na ndio maana ndoa hazidumu. Kwanza kuoa ni kujitafutia kifo cha mapema kwa strees
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Acheni vijana wajipange kwanza maisha yamebadilika....then ndo waoe kukiwa na ulazima,Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John,Rashid nk.
Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi
sio kabisa na majibu mengine kemkem
Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu,
Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi
OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa
-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku
JIULIZE:Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
Siyo promotion mkuu ndio uhalisia wenyewe huo mkuu.Promotion za ndoa.
We jidanganye mkuu
Mkuu...Dini yenu kwangu Mimi naiona Sio Dini...kwaiyo hayo yote ulio andika naona Ni Mambo y ajabu1. Je mapadri sio wanaume halisi?
2. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.
Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?
NB: Naomba unijibu maswali yote.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app