Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

N A K A Z I A [emoji419]
 
Hapa upo sahihi hao slayqueens wanapenda sana kudate na maHB
 
Mawazo ya kuhamasisha pesa ni ya kimalaya malaya.
 
Hii kweli kabisa, mfano mwanamke ukampenda mwanaume kwasababu ya pesa zake au mali wakati wa sex humfeel ni ukavu wa jangwa la sahara, Ila yule mwanaume Unayemfeel hata mkichat tu hisia zinapanda achilia mbali kuonana Sasa ndo kabisa.
Hawasemi ila ndo ukweli huo. Wake za watu wanaliwa kimasihala shida inakua hiyo
 
Vijana wa ovyo hata ukiwaambia haya wataona unawadanganya. Wanawake wazuri wapo wengi sana na wanamapenzi ya kweli.
 
Umeongea ukweli mtupu

Kabla hujaoa hakikisha mwanamke kuwa anakupenda kinyume na hapo Majuto ni mjukuu

“Women are loyal to their feeling”

Kama uko kwenye feeling zake uyo ni wa kwako ila kama haupo hamna rangi utaacha kuiona
Mapenzi hayana formula ndugu zangu,wengine tuliwapenda sana,yani anakosea msamaha naomba mimi lakini wapi,akaenda kwa anayempenda,so mapenzi ni wote mpendane na mridhiane.
 
Yes
 
Nani alikuambia mwanamke ana penda,utashi wa kupenda ameumbwa nao Mwanaume tu.Mwanamke anavutiwa na wewe kutokana na mambo fulani fulani kama kimo,pesa,uhakika wa maisha yake na wanae,muonekano wa Mwanaume n.k
Basi kumbe tunakisea sana kuwapenda coz sio kazi yetu
 
Unaweza ukaoa mwanamke anayekupenda, lakini upendo ukapungua baadae, watu hubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…