Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Hakuna unafuu kunarafikiyangu kaolewa na mwanaume anaempenda sana Yani yule baba ananpelekesha balaa Yani Kwa matukio anayompiga ni balaa
Kilamtu afanye kitu alichoagizwa mwanaume apende mwanamke atii mwanaume hakikisha mkeo anakutii huwezpatashida na ndio hata wazee wetu walioana wakiwa hawajuani kabla na waliishi vizuri
Jitengenezee mazingira ya kufanya mkeo akutii shida sikuiz mmekuwa wadhaifu sana
Rafikio ndio kapenda sana? 😂 Hio ndoa itadumu mda mrefu sana
 
kuna ndugu yangu mmoja ni pisi kali haswaaa ( ni nzuri haswaaa yani nikisema mzuri namaanisha mzuri) ameolewa na jamaa mmoja ana michuzi ya kutosha sana,mwanzoni sista alikuwa hampendi jamaa kwasababu jamaa ana sura pasono......
NB:siombei waachane ila nipo nasubiri mrejesho wa ndoa yao baada ya miaka mitatu maana najua yule ssta amefuata michuzi mingi.
Kiukweli wanawake wengi sikuhizi wanaingia kwenye commitment za ndoa sio kwa upendo ila ni sababu ya kutafta sponsorship ya maisha.

Itategemea na umri wa huyo sista wako lakini. Wanawake wengine hujifunza kupenda kwa mazoea tu na jinsi anavyooneshwa upendo kadri anavyoongeza umri ana realize kuwa yuko na mtu sahihi.

Ila kama wamepishana sana umri na huyo jamaa basi lazma atakuwa anamegwa na ma Ex wake sana japo yupo kwenye ndoa. Huwa looks zina matter sana kwa ma slay queens wanapenda ma HB.
 
mwanamke hata awe na sura nzuri au mbaya (kwa macho ya kibinadamu), unatakiwa kuoa yule anayekupenda zaidi ya wewe unavyompenda. usije kujaribu kuoa mwanamke ambaye wewe ndio unampenda zaidi, yeye anatakiwa kukupenda zaidi ya wewe unavyompenda. hapo utaishi vizuri. ila ukifanya hivyo vinginevyo nakuhakikishia lazima utakuja uchanike moyo siku moja. namshukuru Mungu nilifanikiwa kuoa mwanamke anayenipenda sana mimi kuliko vile mimi nilivyompenda, amenivumilia kwa mengi na mwisho wa siku tukaja kuendana, sasa tunapendana sawasawa na ndoa ni nzuri sana. kuna kaka yangu mmoja yeye alioa mwanamke mzuri sana na ana PHD, ila mwanamke hampendi sana, yeye brother ndio anampenda zaidi. ajabu yake, mwanamke pamoja na kwamba wamezaa watoto kadhaa, yupo tayari kuachana naye kama brother akiamua, na bro hayuko tayari kumwacha kwa jinsi anavyompenda hadi leo, hiyo sasa imekusa silaha/fimbo ya kumburuza, anamburuza bro apendavyo. kwasababo bro ndio anayejibembeleza kwake.
Hongera umecheza kama pele. Hio ndio siri ya ndoa zilizodumu toka enzi. Mwanamke akipenda hata ukiwa na udhaifu fulani hakuachi kirahisi. Maisha yanakuwa na balance maana wanaume tunajua ku reciprocate upendo hii ni asili.

Braza wako ataishi maisha magumu sana sababu ana kibarua cha kumu impress shemeji yetu for the lifetime. Awe makini maana uwezekano wa kubambikiwa watoto ni mkubwa. Mwanamke akishakuwa na guts za kwamba tuachane hata kesho sipati picha huo msururu wa wahuni watakaokuwa wanamgonga kwa siri bila blaza wako kujua. Mpe pole sana ila kuanza upya si ujinga.
 
Siwezi kumuoa mwanamke ambaye hanivutii hata kama ananipenda, bora niendelee kuteseka na mapenzi kwa mtu njnayempenda hata kama yeye hanipendi
Endelea hivi hivi kijana, muda utakuja kuongea siku moja. Oa kabisa slay queen mwenye kucha kama jini 🤣🤣🤣 halafu siku GSM wakikufukuza kazi hapo ndio utaelewa kwanini mchai chai ni kiungo ila hakiwekwi kwenye pilau.
 
Yanikute mangapi?? Nimeshatendwa na mtu ni mpemdae, nimeshaumizwa moyo na mtu ni mpendae lakini kwangu yote kheri bado nampenda na sifikirii kumuacha
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sikio lakufa
 
Leteni maji ya baridi tumwagie huyu, usingizi bado mzito....atalowesha kitanda sio muda
🤣 Kijana ameeleza uhalisia maji ya nini sasa. Kamwe usitumie nguvu ya pesa au mali kumhadaa mtoto wa kike akupende.

Mwanamke anaefall kwako kwa personality yako huwa haangalii pochi yako na mbususu utapewa full chaji na hakosi nauli ya kukufuata hata kama ni mkoani. Kuna dalili nyingi zipo wala si utani. Swala la kuomba hela ndio usiseme badala ya kukuomba atakupa zake mtumie bila kusahau zawadi kede kede.

Kama yeye hana kitu kabisa hawezi kukuingiza kwenye mambo ya hasara ila atalinda hela zako.
 
Hakuna unafuu kunarafikiyangu kaolewa na mwanaume anaempenda sana Yani yule baba ananpelekesha balaa Yani Kwa matukio anayompiga ni balaa
Kilamtu afanye kitu alichoagizwa mwanaume apende mwanamke atii mwanaume hakikisha mkeo anakutii huwezpatashida na ndio hata wazee wetu walioana wakiwa hawajuani kabla na waliishi vizuri
Jitengenezee mazingira ya kufanya mkeo akutii shida sikuiz mmekuwa wadhaifu sana
Shida siku hizi mmekuwa wadhaifu sana[emoji419][emoji375]
 
🤣 Kijana ameeleza uhalisia maji ya nini sasa. Kamwe usitumie nguvu ya pesa au mali kumhadaa mtoto wa kike akupende.

Mwanamke anaefall kwako kwa personality yako huwa haangalii pochi yako na mbususu utapewa full chaji na hakosi nauli ya kukufuata hata kama ni mkoani. Kuna dalili nyingi zipo wala si utani. Swala la kuomba hela ndio usiseme badala ya kukuomba atakupa zake mtumie bila kusahau zawadi kede kede.

Kama yeye hana kitu kabisa hawezi kukuingiza kwenye mambo ya hasara ila atalinda hela zako.
Ivi mwanamke usiyempenda kabisa na kuvutiwa naye kwa chochote kile, ila yeye kafa kaoza kwako, ni inawezekana kweli ukaja kumpenda polepole baada ya kumwoa ?

Slowly
 
Ivi mwanamke usiyempenda kabisa na kuvutiwa naye kwa chochote kile, ila yeye kafa kaoza kwako, ni inawezekana kweli ukaja kumpenda polepole baada ya kumwoa ?

Slowly
Hii inatokea mara nyingi ila haimaanishi hakuna wanawake warembo wanao fall kwetu. Sio kila mwanamke atakayekupenda hana mvuto. Ambaye hakuvutii unaachana nae wala huna haja hata ya kumla. We mkwepe tu.
 
Mwanamke anaendeshwa na hisia, siku zote jitahidi uwe dereva wa hisia zake. [emoji3] Akufikirie wewe kwanza kabla ya yeyote yule.
Wakat wew upo kwenye mchakato wa kuhakikisha unakuwa dereva wa hisia zake na yey nae anahaha kuhakikisha anakua dereva wa hisia zako
 
Ni kawaida Sana Mzee , Sisi wanaume kadr umri unavyosonga huwa tunapoteza ushawishi , katika mazingira haya mafanikio yako ya kifedha ndo yatakufanya upate kitu unachotaka , kuna nyakat za kushuka kiuchumi , kuna nyakati za kuumwa , na nyakat za kuishiwa nguvu , katika nyakat Hz unakuwa unahtaji mtu wa pembeni ambaye yupo loyal na wewe , kukupa faraja na matumaini, na ndo kipind ambacho mwanamke huyo utamuona wa thamani na utampenda zaidi , mana wengine wote watakuwa wamekaa pembeni....!! Kama ulioa slayqeen Mzee mapema tuu unashuka ahera Kwa stress..be careful Sana kwenye kuoa chief
Shukran sana mzee kwa madini.
 
Back
Top Bottom